“Nawatakieni kheri ya mwaka mpya pamoja na BWANA” -Pastor Caleb Migombo

“I will remember the works of the LORD; Surely I will remember Your wonders of old. I will also meditate on all Your work, And talk of Your deeds. Your way, O God, is in the sanctuary; Who is so great a God as our God?” Psalm 77:11-13

“We have nothing to fear for the future, except as we shall forget the way the Lord has led us, and His teaching in our past history” EGW -LS p. 196.

Have a Happy New Year with The LORD

“Nitayakumbuka matendo ya Bwana; Naam nitayakumbuka maajabu yako ya kale. Pia nitaitafakari kazi yako yote; nitawazia habari za matendo yako. Ee Mungu njia yako I katika utakatifu; Ni nani aliye mungu mkuu kama Mungu?” Zabri 77:11-13

“Hatuna chochote cha kuogopa juu ya wakati ujao, labda pale tu tutakaposahau jinsi Bwana alivyotuongoza, na mafundisho yake kwetu kwa nyakati zilizopita”. EGW LS p.196

Nawatakia heri ya mwaka mpya pamoja na BWANA

Leave a Reply