A word of wisdom!

The Creator of the universe has equipped you, empowered you, and put seeds of greatness inside of you. He says, “You’re one of a kind, a masterpiece; you’ve got what it takes.” He’s qualified you, so don’t disqualify yourself.

Source: one of THC members 

Ijumaa Kareem

2016-06-03 10.30.36Ijumaa Kareem kwenu wote……Sabato njema. …….Tumsifu Yesu Kristo. ……Sorround yourself with ❤❤❤

“Watanzania wanataka maisha ya kisasa lakini wengine hawataki kulipia gharama ya maisha hayo ya kisasa”

Neno la Leo: Watanzania wanataka maisha ya kisasa lakini wengine hawataki kulipia gharama ya maisha hayo ya kisasa. Wanataka wawe kama Marekani, Japan, China, Ulaya lakini wakiambiwa walipe hiyo gharama wanakuja juu! Sasa kwani Marekani, Japan, China, Ulaya zilishushwa toka Mbinguni zikimeremeta? Au wanafikiria haya mabarabara, mabasi na matreni yanayokimbia kama yanafukuzwa na radi yalikuja tu ghafla bin vuup! Kwamba, vyuo vyao vikuu vimeweza kufikia kutoa wataalamu wenye ubunifu wa kila namna kwa sababu Mungu anawapenda saaana hao na anatuchukia sisi?

Au watu wanafikiri – na nimeshawahi kukutana na watu wa aina yao – kwamba Mzungu kapendelewa saaana kwa sababu mweupe!? Au ni kweli tunaamini maneno tunayoambizana “Waafrika sisi tumelaaniwa” halafu tunaishi kama watu waliolaaniwa kutimiza unabii wetu wenyewe?

Nilisema juzi kuishi kwa njia ya mkato kuna raha yake hasa kama njia ya mkato haikufanyi utoke jasho! Hatuwezi kuwa na maisha ya kisasa na kujenga jamii ya kisasa yenye ubora wa maisha kwa kila namna bila kulipa gharama ya kufanya hivyo. Nje ya hapo tutaendelea kutamani tu samaki wa picha na mchuzi wa jirani!

MMM

Usajili wa vitambulisho kwa diasporas

IMG-20160603-WA0000

Manhood

FB_IMG_1464961059928Ngoja leo ni watambulisha kwenu shemeji yangu aitwaye Michael Owino! Yeye ni muandishi wa vitabu kama mnavyo ona!……… sisi wajaluo tumeendelea tunao ndugu zetu wazungu ??? FB_IMG_1464961142924Please follow him on Facebook, he goes by his name  Michael Owino

Ukiniuliza tatizo KUU sio serikali kuingilia biashara bali ni biashara kuingilia serikali na siasa

NAAMKA HIVI –FB_IMG_1464959113521Ukiniuliza tatizo KUU sio serikali kuingilia biashara bali ni biashara kuingilia serikali na siasa kwa ujumla kwa takribani miaka 20 sasa.

Hapa tulipofika ni zao la siasa kutumikia wafanyabiashara wachache wenye nia ya kulinda maslai binafsi hata kwa kuigarimu serikali na taifa letu.

Hatuwezi rekebisha hii hali bila kupitia mkondo huo huo uliotufikisha hapa. Naamini hapa ndio tutaona tofauti ya siasa za kusaka dola na utawala baada ya kuikamata dola.

Tukisha chagua viongozi tunategemea waunde serikali na kutawala/kudhibiti nchi sio kupiga siasa tu siku ziende tu bila suluhisho.

Tukubaliane ‘kibongo bongo’ hakuna anaeTAKA mabadiliko ya kweli pamoja na kuyaHITAJI. Kwa wengi ‘mabadiliko’ ni kauli mbiu tu. Ukiwa kiongozi Tz lazima uwe mnafiki aka roho mbaya au kauzu aka roho ngumu.

Siasa mwisho chalinze, HAPA KAZI TU! ?

A word of wisdom

Proverbs 20:3 says, “Avoiding a fight is a mark of honor.” A lot of times, we think winning a fight is a mark of honor. That’s not really winning. You make yourself feel good, but it doesn’t strengthen the relationship. The real way to win is to walk away, to take the high road. That’s a mark of honor.

Source: One of THC members

 

DICOTA’s statement on misrepresented facts made by Mb. Joseph Mbilinyi

Screenshot_2016-06-02-14-13-38-1Screenshot_2016-06-02-14-10-52-1Screenshot_2016-06-02-14-10-52-1Screenshot_2016-06-02-14-10-40-1

To read in pdf file click ? DICOTAToJosephMbilinyiLetter

To read through DICOTA’s website ? DICOTAToJosephMbilinyi

 

 

Mnada mkubwa kutoka ubalozi wa Marekani!

IMG-20160602-WA0003Ubalozi wa Marekani unapenda kukujulisha mnada mwingine mkubwa wa Magari, Mafridge pamoja na Furniture mbalimbali za nyumbani. Universal Auction Centre kwa idhini tuliyopewa tutauza kwa mnada Magari, Mafridge na Furniture jumamosi ya wiki hii 04.06.16 kuanzia saa 4 asubuhi, Golden Resort, Sinza, jirani na Lion Hotel. Mali zote zinaweza kukaguliwa kuanzia kesho mpaka ijumaa.

Kwa mawasiliano nasi tupigie +255754284926

 

Katika kukua kwetu huwa tunakua huku tukijitafuta sisi ni kina nani?-Dinna Marios

Utajitafuta katika muonekano unapenda uonekanaje? Mavazi yako yakutambulishe vipi?sauti yako iweje? tembea yako iweje utembee vipi? ucheke vipi? nakumbuka nikiwa nakua nimekuwa na mapenzi ya kuangalia movie basi nilikuwa napenda sana sehemu inayomuonyesha mtu akitembea kwa slow motion au kukimbia nilikuwa napenda nitembee mwendo huo wa slow motion kama kwenye movie ???? nilihisi ni nzuri sana Katika kujitafuta huko wakati mwingine tunajikuta tunaiga/kucopy mambo hasa muonekano na tabia kutoka kwa wanaotuzunguka. Kama ni sauti Utapenda uongee kama fulani anaekuvutia, kutembea kama fulani anaekuvutia, kuvaa,kujidai, kucheka  n.k

Sasa katika kuiga au kucopy huko je unamcopy nani? Je unachocopy kinakujenga au kubomoa? Wakati unaiga muonekano, tabia, tembea, ongea kama unamuiga mtu anaeendana na unachotamani kuwa itapendeza sanaa katika kukujenga na kujitafuta.

Lakini angalia usiwe mtu unaeiga vitu visivyofaa ambavyo vitakufanya ujichimbie shimo. Unaiga wale watu wako wa karibu ambao ni walevi nawe unaanza ulevi, uzinzi, utapeli, kuvuta bangi, kula unga, kuvaa uchi uchi, kujichetua, umarioo, uhuni wa kijinga, uongo na umbea inshort tabia zote mbovu unaziiga kutoka kwa wanaokuzunguka. Kwako kijana ambae bado unaendelea kujitafuta wewe ni nani hakikisha haupotei. Wakati unajua unataka kuwa mtu wa aina gani basi angalia mtu wa mfano unaoutaka haukupotoshi! FB_IMG_1464870072403By Dina Marios!

Africa produces 75% of World’s Cocoa. And receives only 2% of the $100 Billion industry?!

Screenshot_2016-06-02-07-20-40-1What a shame! Hili ni jipu kubwa sana!!…… Who’s fault is this?  Please  visit changeTanzania page to read what other people have to say!

Source: face2faceAfrica.com

Father and daughters moment

FB_IMG_1464842572241“It takes a strong man to accept somebody else’s children and step up to the plate another man left on the table”….. Mr Kimesera and his beautiful daughters…..one is missing  ❤❤❤ them!

Utalii wa ndani ya inchi

IMG-20160602-WA0001earlier today (in Tanzania), my dad with his Vietnamese friends ……tourism in Ngorongoro, Arusha IMG-20160602-WA0000nice! Love it!

Special edition: Mr and Mrs Mali Kimesera 7th wedding anniversary!

FB_IMG_1464842446120My darling friends Today may the 29th I am celebrating my wedding anniversary. Today is the day we had our wedding surprise in Huston Tx.  All our friends who got our invitations came to the wedding knowing it was my brother’s wedding. My brother SEKULU and Asha… We really surprised everybody and all the people who know us around the world. ??? it was Amazing I was so Thankful to God everything went well as we planed it was an amazing private wedding party ??. I thank God up to know 24/7 for such a husband . Who knows me and understands me may be more than my parents. I am so blessed to have him. My life wouldn’t be as exciting and amazing without MALI KIMESERA. I made the right choice to marry him THANK YOU GOD FOR CHOOSING HIM FOR ME. FB_IMG_1464842097778What a lovely msg Linda!…… Happy Wedding Anniversary to the hottest, wonderful, beautiful couple! Thank you for being one of the best examples of what true love is! Mbarikiwe sana ❤❤❤ …..angalia shemeji yangu alivyo bomba, kama kijana wa miaka 25 vile ?? FB_IMG_1464842485333Wapendwa wasomaji wangu, naomba tufurahie kwa pamoja hii couple kwani ndio Our 2016-Hottest And Best Couple Of The Year! Kama ulipitwa soma ?   ??? …….. walifanya kusherekea siku ya JumaPili kwa kula nyama Choma, swimming, na ku relax around the pool. Just an easy day at home with family FB_IMG_1464842497036kama ilivyo kuwa kawaida yake; Linda alivalia free-style dress ya LB  na hairpiece ya LB kama anavyo onekana…..  FB_IMG_1464842262877“At the #Polaris #DownTownAtlanta With my Husband Celebrating the day we met after loosing contacts for 20 yrs. I was 16 and he was 21. When we met again I was 36 and he was 41 #ThankYouAllah. It was back on May 31st 2008, we were both married….Divorced our spouses .. Then we got married in less than a year on May 29th 2009. So today it’s 7 years since we met for the second time. Our love story is amazing and very rare to find in this time and era. In this time of material we lost money and businesses just to be together, when others need somebody with money in order to be together. TRUE LOVE IS BEAUTIFUL. Our story was featured on COMCAST TV EXPRESS YOURSELF TV TALK SHOW BY Dr. Daisy Johns.” – Mrs Kimesera  FB_IMG_1464842277707Linda, my sister you look A-M-A-Z-I-N-G! Ulipendeza sanaaaaaa! FB_IMG_1464842119817That dress is to die for! Gorgeous!…….kwakweli nafurahia sana kuchagua hii couple kwani ni wa ukweli si geresha! ❤❤❤ it! FB_IMG_1464842074738The view my sister! Halafu hapo ni mambo ya ‘double view’ unaangalia nje dirishani ukigeuka unakutana na handsome boy katulia, the same with Mali akigeuka anakutana na Kichuna cha Kizaramo ?? na huo mguu sasa si mchezo!….. what a lucky man with blessed lady in front of him!… To God be the glory!

Poral hotel
Polaris Hyatt Regency hotel, downtown Atlanta, Georgia 

FB_IMG_1464842069840FB_IMG_1464842060667FB_IMG_1464842373408Need I say more?! Zibarikiwe kazi za mikono yake! FB_IMG_1464842113335Wow! What should I say, you guys were made for each other!….May the freshness of your love forever remain! Happy Wedding Anniversary Mr and Mrs Kimesera ❤❤❤

“I don’t have to adhere to anyone’s specifications to be a valid woman that God has created me”!

Screenshot_2016-06-01-20-57-05-2Nimejikuta nacheka baada ya kusoma hiyo msg ? juu! Niliandika miaka miwili iliyopita (05 / 2014), unajua sometimes people get under your little tiny nerves sasa hapo ndiyo yale mashetani yangu ya Kijaluo yanaamka ??…… Sikiliza nikwambie unene sana si mzuri na pia wembamba sana si mzuri. Lakini afya ya mtu hapimwi kwa unene au wembamba wake! Kuna watu nimeshuhudia wakifa kwa heart attack na walikuwa wembamba! Kuna watu ni wembamba maisha yao yote na wanasumbuliwa na kisukari! Nimeshuhudia kaka mmoja alikuwa 100% vegan na alikufa kwa Colon cancer sasa unabaki unajiuliza kama alikuwa vegan how did he end up getting “colon cancer?” wasn’t it supposed to be all “organic greens” coming out of his body?FB_IMG_1464832717852-1Wewe kama unataka kupungua pungua tu kwasababu zako na faida yako mwenyewe. Lakini hiyo siyo guarantee kuwa ndiyo una afya nzuri kuliko wengine! Siku zote kumbuka kuwa kila kitu nivyema kuwa na kiasi! Unene sana si mzuri na pia wembamba sana si mzuri. Kuwa mtu wa kiasi! ……….( btw, hivyo viwalo na viatu bado ninavyo one of these days nita vivaa tena nione kama nimeongezeka au nimepungua ?)2016-06-01 21.21.02

Kutoka Facebook

FB_IMG_1464831490642-1Beautiful Hawa Gwao from Queens land, lovely!

A truly beautiful story

During World War II, a soldier was separated from his unit on an island. The fighting had been intense, and in the smoke and the crossfire he had lost touch with his comrades.

Alone in the jungle, he could hear enemy soldiers coming in his direction. Scrambling for cover, he found his way up a high ridge to several small caves in the rock. Quickly he crawled inside one of the caves.

Although safe for the moment, he realised that once the enemy soldiers looking for him swept up the ridge, they would quickly search all the caves and would be killed.

As he waited, he prayed, “Lord, please spare my life. Whatever will happen, I love you and trust you. Amen.” After praying, he lay quietly listening to the enemy begin to draw close.

He thought, “Well, I guess the Lord isn’t going to help me out of this one.” Then he saw a spider begin to build a web over the front of his cave. “Hah” he thought, “What I need is a brick wall and what the Lord has sent me is a spider web. God does have a sense of humour. “

As the enemy drew closer he watched from the darkness of his hide out and could see them searching one cave after another.

As they came to his, he got ready to make his last stand, but then he heard the leader of the soldiers say, “You may as well ignore looking in this cave….if he had entered here this web would be broken!” So they left and he was delivered!

To his amazement, however, after glancing in the direction of his cave, they moved on. Suddenly he realised that with the spider web over the entrance, his cave looked as if no one had entered for quite a while.

“Lord, forgive me,” he prayed. “I had forgotten that in you a spider’s web is stronger than a brick wall.”

God’s ways are not our ways, God’s thoughts are not our thoughts.. He will neither leave us nor forsake us.. Let’s trust in God always!!

Sometimes a prayer doesn’t change the situation. But it changes our attitudes towards the situation and gives us hope which changes our entire life.

Stay Blessed! Always Trust in your prayers. God always responds in HIS own ways. He has answered me twice this year. Looking forward for the big one. Soon, very soon! I pray! Amen. FB_IMG_1464828500542source: one of my Facebook friends

The family of late Henry Kiherire has denied the allegations made by Mb. Joseph Mbilinyi

HENRY KIHERIRE-   “Rest in Peace”

Arising from communications which are currently circulating through whatsapp and other social media regarding the handling of the overall bereavement on the passing of Henry Kiherile by gun shots, the family of Henry Kiherile in Houston wishes to express the following:

(1) We wish to express once again our sincere thanks to the Tanzanian Houston community and its leadership for the overwhelming support given to us as we grieved for the loss of Henry. You mourned with us, you prayed with us, you supported us financially, and you allowed us to cry on your shoulders. We thank you so much.

(2) We acknowledge with many thanks the support and leadership we received from the Embassy of Tanzania as we grieved on the loss. The consular services we needed to facilitate transportation of the body to Tanzania were rendered promptly and we appreciate the expressions of sympathy during the entire time we worked on the consular affairs related to transporting the body home. We are particularly grateful to the Embassy for sending an embassy official, Dismas Assenga, to Houston to mourn with us and to deliver the Ambassador’s condolence message and financial contribution. We thank you so much.

(3) We wish to inform you that the family is in close communication with the Houston Police Department team working on the case. We have had several in person meetings and regular telephone communications for briefings and updates. We believe the perpetrator(s) of the crime will be brought to justice in time.

(4) We would like to state very clearly that we were very well served by all institutions and organizations that we have worked with or are working with in this matter (Houston Police Department, Embassy of Tanzania, Forest Lawn Funeral Home, Umoja Church). We feel very well served during this very difficult time for us.

(5) Last but not least, and considering all of the above, we would like to inform all of you that we do not subscribe to the view expressed in the WhatsApp communication which wishes to send out a petition seeking signatures to support a recommendation to the government of Tanzania to remove Ambassador Wilson Masilingi from serving as Ambassador of Tanzania to the United States, purportedly for “kutowajibika na kutokujali vifo viwili tofauti ndani ya mwezi mmoja mjini Texas kwa kupigwa risasi”. We have not expressed such discontent to anyone and we would like to remove any implication that because we are one of the families that lost a son so horrifically we, therefore, may have contributed to the petition idea or motivated the authors of the petition. We want Henry to rest in peace and for us to be allowed to move on.

Should you have any questions or concerns please contact;

Mr. Mathew Mohono – 281-804-6478

Dr. Lenard Tenende – 713-540-6355

 

Listen to Mb. Mbilinyi allegations ?

Uwongozi wa THC wakanusha tuhuma zilizotolewa na Mb. Joseph Mbilinyi

*TAARIFA KWA WANAJUMUIA NA UMMA KWA UJUMLA*

Uongozi wa Tanzania Houston Community (THC) unapenda kukanusha taarifa zisizo sahihi zinazosambazwa mitandaoni ya kwamba ubalozi wa Tanzania nchini Marekani chini ya Mh. Balozi Wilson Masilingi haukufanya lolote wakati jumuiya yetu ilipopatwa na misiba miwili ya Bw.Henry Kiherile na Bw.Andrew Nicky Sanga iliyotokea kwa nyakati tofauti mapema mwezi April mwaka huu.

Uongozi wa THC unapenda umma utambue kwamba tulipata na tunathamini sana ushirikiano ulioonyeshwa na kutolewa na ubalozi pamoja na balozi mwenyewe Mh. Masilingi wakati wa misiba hiyo miwili na hata baada ya shughuli hizo za misiba kumalizika.

Baadhi ya mambo yaliyofanywa na balozi ni kuwatafuta viongozi wa jumuiyaTHC na kuzungumza nao mapema baada ya misiba hiyo kutokea (balozi alitutafuta viongozi na si vinginevyo) ambapo alizungumza na Rais wa jumuiya Bw.Daudi Mayocha na Katibu Mkuu wa jumuiya Bw.Michael Ndejembi na kuwapa pole kwa niaba ya familia na jumuia nzima.

Uongozi unafahamu kwamba sababu za balozi kushindwa kufika Houston wakati wa misiba hiyo ni yeye kumuwakilisha Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Magufuli kwenye kongamano la DICOTA lililokuwa likifanyika jijini Dallas, Texas. Tunatambua pia kwamba nia ya balozi kuja Houston bado iko pale pale.

Aidha Balozi Masilingi alimtuma afisa ubalozi kumuwakilisha katika shughuli za Misa na Kuaga mwili wa marehemu Andrew Nicky Sanga, ambapo afisa huyo pamoja na mambo mengine alitoa salamu za rambirambi toka kwa balozi na alikabidhi rambirambi ya $500 kwa kila familia pamoja na kuzungumza na wafiwa hao kwa nyakati tofauti. Afisa huyo aliweza pia kukutana na uongozi Houston Police Department (HPD) ambao wanashughulikia kesi za mauaji hayo ya watanzania.

Kwa taratibu za kiupelelezi Uongozi wa THC hauwezi kutoa taarifa zaidi ya namna suala hili linavyoshughulikiwa kati ya vyombo vya usalama nikimaanisha HPD Homicide Department na Ubalozi wa Tanzania lakini tunatambua kwamba ubalozi unafuatilia kesi zote mbili kwa ukaribu sana.

Uongozi wa THC unasisitiza kuwa hauhusiki kwa aina yoyote na Waraka (Petition)unaosambazwa kwenye mitandao ili kumchafua Balozi Masilingi na ubalozi wetu wa Washington D.C kwa ujumla.Uongozi unashauri watu wote kupuuza ujumbe na jumbe nyinginezo zinazofanana na huo kwani hauna ukweli wowote.

Daudi Mayocha,

Rais wa Jumuiya ya Watanzania Houston (THC)[email protected]

@All

Mawasiliano yangu kwa TEXT na Balozi….. Uongozi wa THC hauna chama wala haufungamani na chama chochote kile  ????

IMG-20160601-WA0004

Joseph Mbilinyi (Mbunge wa Mbeya mjini) aungana na wana diaspora wa Marekani!

  • Ataka serikali iwatumie katika mipango ya maendeleo endelevu kwani “exposure” yao ni muhimu sana
  • Asema serikali haiwajali diasporas wakati wakiwa hai na hata wakisha kufa
  • Azungumzia msiba wa Andrew “Drew” Nicky Sanga a.k.a King 404
  • Ataka kujua hatua gani serikali imechukuwa katika kufatilia Watanzania walio uwawa hivi karibuni hapa Marekani
  • Amehuzunishwa sana na kitendo cha Balozi wa Tanzania inchini Marekani kuto kwenda kwenye kwenye misiba hiyo na hivyo anaungana na Watanzania waliopo Marekani katika kutia saini petition ya kumuondoa Balozi huyo madarakani kwani hanafaida yoyote!……. msikilize mwenye  ?

2015-04-22 21.13.43Mimi (Alpha Igogo) sijaiona wala kusikia kitu chochote kuhusu hiyo petition ambayo Mbunge Sugu amezungumzia. Ndio kwanza nasikia toka kwake. Naona imenipita pembeni. Hivyo inawezekana ipo au la! Siunajua vitu kama hivyo haviwezi pita machoni pangu as huwa wanadai mimi ni “FBI” ??? Nikazi sana kuwa na akili za kushikiwa na marafiki!

Blog