Category Archives: Uncategorized

Words of wisdom

*WISE WORDS FROM A GREAT THINKER AND OBSERVER!!*

*Buffalos kill 7 people every year.*

*Lions kill 500 people every year.*

*Hippos kill 800 people every year.*

*Spiders kill 5000 people every year.*

*Scorpions kill 7000 people every year.*

*Snakes kill 10000 people every year.*

*And then, surprisingly,*

*Mosquitoes kill 2.7 million people every year. Yes, the smallest are the deadliest!*

*Small ‘sins’, hardly noticed by many, are the most deadly to your spiritual life.*

*Avoid excuses for not praying and allotting few moments of your day to your Creator.*

*Sins of omission are just as deadly as sins of commission.*

*Gossiping and small lies, are committed more frequently and are deadly.*

*Mind those little compromises that you do daily. They are the ones that will bring your downfall.*

*Successful people have two things on their lips, “Smile and silence”.*

*Smile can solve problems, while*

*Silence can avoid problems.*

*Sugar and salt may be mixed together*

*but ants reject the salt and carry away only the sugar.*

*Select the right people in life and make your life better and sweeter.*

*If you failed to achieve your dreams, change your ways not your Creator.*

*Remember, trees change their leaves, not their roots.*

*You will never reach your destination if you stop and throw stones at every dog that barks.*

*Haters will see you walking on water and say it’s because you can’t swim.*

*Even if you dance on water, Your enemies will accuse you of raising dust.*

*Make it your ambition to lead a quiet life, to mind your own business and to work with your own hands.*

*Remember Don’t ever wrestle with a pig. You’ll both get dirty, but the pig will enjoy it.*

*BE WISE!*

Source: One of THC members

Hot shot of the day

Screenshot_2016-06-28-08-54-00-1Mwamvita Makamba, kapendeza sana. Mimi binafsi sipendi kufunga vilemba lakini huwa nasifia kama mtu kapendeza. Siyo kwamba nachukia vilemba, hapana! Bali sipendi kichwa changu kubanwa banwa, naona kama nashindwa kupumua! Nilishawahi sema kuwa hata zile rasta za “Kimasai” mimi nimewahi kusuka mara moja tuu, tena kwa kulazimishwa and within a week nilizitoa! ??? …..anyway, Mwamvita kapendeza sana!

Kutoka Facebook

FB_IMG_1467119707387African Queen all the way from Geita! Pendeza sana FB_IMG_1467119656325❤❤❤

Hot shot of the day

FB_IMG_1467032434673Zawadi Kakoschke, mama Amika katika ubora wake. Kanogaje sasa?! Hapa ni katika moja ya siku ya wiki iliyopita. Walikuwa kati weekend gateway na laazizi wake kwaajili ya Wedding Anniversary yao!DSCN6369-1038x576Unataka kujua ni wapi walikwenda? Basi nenda kajionee mwenyewe kwenye family blog yao ya www.maisafari.com au bonyeza ? maisafari.com

Hot pic of the day

Screenshot_2016-06-24-12-11-36-1The Real Bosslady! Zarinnah wa Diamond! Mama yake na Princess Tiffa wa ukweli! Pendeza sanaaaaaa! Screenshot_2016-06-24-12-11-11-1Em eyes! Kama yanakuita vile ?? Too cute!

Angalia kimume chake kilivyo kifupu, wakwako? Inahusu?!……Mungu ndiyo jawabu la kila kitu!

“Umekuwa Tanganyika matembezi” ????????? Mc nimemkubali huyu LOL!

Maneno ya hekima!

*WAKATI MWINGINE KATIKA MAISHA*

Unahitaji watu watakaokudharau ili ukimbilie kwa Mungu. Unahitaji watu watakaokunyanyasa ili uwe shupavu. Unahitaji watu watakaokwambia HAPANA ili ujifunze kujitegemea au ujifunze namna ya kutatua changamoto zako mwenyewe.

Wakati mwingine unahitaji watu wako wa karibu kabisa ambao hukutegemea siku moja watakuacha, na wakuangushe kipindi ulichowahitaji kuliko chote ili ujifunze KUMWAMINI MUNGU na sio mwanadamu.

Unahitaji BOSS katili atakayekufukuzisha kazi ili uwe na ujasiri wa kuanzisha biashara yako kabla hujazeeka. Unahitaji ndugu watakaokuuza katika nchi ya ugenini ili ukawe waziri mkuu huko Misri (Kama Yusuph).

Unamuhitaji baba mwenye nyumba katili mnyanyasaji na anayepandisha kodi kila mwezi ili ujifunze kujenga yako mwenyewe na ikimalizika uiheshimu na uheshimu wenzio waliojenga.

*KWA KIFUPI TAMBUA KUWA*

Kila jaribu huambatana na baraka zake, wakati mwingine huwezi kuona baraka Mungu anazokufungulia katika mlango mwingine huku ukiwa umeshupalia kusukuma mlango ambao Mungu amaeufunga.

 *MUHIMU* Tambua kuwa hakuna jaribu ama dhihaka inayokuja kwako bila kuwa na baraka nyuma yake. Ndugu zangu upatapo jaribu lolote juwa linaambatana na baraka, muombe Mungu akupe macho na uvumilivu wa kuona BARAKA zake pale upatapo na jaribu.

WARAKA WANGU KWA UPINZANI NA SERIKALI- Mkandara Ebbie

Kwa heshima na taadhima natanguliza TAIFA KWANZA kama msingi wa waraka huu kuyazungumzia yalotusibu sisi wananchi kutokana na mtafaruku wa ajabu kabisa usiozingatia Maadili ya utumishi katika mihimili ya nchi yetu.Ni aibu kubwa kwa taifa letu maana imekuwa kama maonyesho ya sinema.

Ndugu zangu wa Upinzani, binafsi mimi sielewi kabisa kilichowasibu hata mkafikia kuchukua hatua ya kutowawakillisha wananchi wenu mkachagua kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge wakati wa vikao vya bunge ilihali hii ndio kazi mlotumwa na wananchi kuifanya. Mmechagua yenu dhidi ya wananchi – Sielewi kabisa usema kweli…

Hoja yenu kubwa nilowahi kuisikia kuwa hii ni moja ya jitihada zenu za kupigania Demokrasia ambayo kwa tafsiri yenu imeporwa na Serikali ya Magufuli. Demokrasia ipi? Kule kufukuzwa kwa baadhi ya Wabunge walovunja kanuni za Bunge wakahukumiwa na kamati ya Bunge, hivyo kuihsia kutokuwa na imani na Naibu Spika!

Kama sababu ni hii jiulizeni wenyewe nini sheria ya kufikisha madai haya na utaratibu gani unatakiwa kufanyika kulingana na kanuni za Bunge. Bila shaka kama tunazungumzia Demokrasia yenyewe Ushindi wenu utapatikana tu ikiwa Upinzani wataweza kushinda kwa kura zaidi kutokuwa na Imani na Naibu Spika. Nje ya hapo ni Demokrasia gani mnayotaka itumike! Rais atumbue Jipu kama mlivyotaka aingilie uchaguzi wa Zanzibar! Na hii ndio Demokrasia mnayolilia?

Nakumbuka vizuri sana, awamu ilopita, Kiongozi Zitto Kabwe Ruyagwa aliwahi kufanya utaratibu wa kukusanya saini za Wabunge kwa kutokuwa na Imani na Waziri mkuu wakati huo akiwa Mh. Mizengo Pinda. Sikuona mkitoka nje kwa sababu Waziri mkuu aliendelea kuwa katika nafasi yake..

Nakumbuka pia wakati Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alipokuja Bungeni kuhutubia kwa mara ya kwanza 2010, mlitoka nje kwa kutomtambua, pia kuingia kwa John Magufuli mlifanya hivyo hivyo kwa kutomtambua rais wa Zanzibar Mohammed Shein lakini maajabu ya Mussa wakati wote mkakubali kuapishwa kama wabunge wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya viongozi hao hao…

Sasa najiuliza kwa nini mliendelea kuwepo Bungeni? Leo mnaweka madai ya kufungwa midomo kwa kupigania kipi haswa ambacho sisi wananchi tumeshindwa kukielewa! na pengine nirudi tena katika swala la Television na #BungeLIve.

Kama kweli hii ndio sababu, mbona mnaingilia kazi isokuwa yenu? Ni wananchi walokosa onyesho hili wanaotakiwa kuweka madai yao aidha kwa kuonyesha umuhimu wa swala hili kwao wao. wanaweza andamana hadi Ofisi ya Waziri wa sanaa na Michezo Nape Nnauye bila kushinikizwa na viongozi wa vyama bali kwa utashi wao wenyewe na kueleza malalamiko yao wakiwa na sababu dhidi ya zile zilizoainishwa na serikali.

Wanaodai #BungeLive ni Wananchi sio nyie Wabunge na wala sio kazi mlotumwa na wananchi na kama ndivyo onyesheni ushahidi bungeni au mahakamani. Mwanamuziki huwezi kugoma Kuimba ukumbini ati kwa sababu Clouds wamekataa kurusha video ya muziki wako LIVE ukadai kuwa haya ni matakwa ya wananchi!,Acha wao waweke madai maana wao ndio wanaolipa fedha toka kodi zao.

Serikali ya kiongozi John Magufuli, nawaomba, tena nawaomba sana maadam mihimili yote mitatu ipo chini ya JMT. Hakikisha hawa Wabunge wanarudi Bungeni na kufanya kazi walokabidhiwa na wananchi, laa sivyo wasipokee mishahara na posho zao pasipo kufanya. KAZI walopewa sio kwenda kujaza form za malipo kisha watimke bali ni kuwakilisha wananchi wa majimbo yao Bungeni. Na ikishindikana kabisa basi baada ya vikao hivi tumia Nguvu ya Dola na kuvunja Bunge hili ili Uchaguzi mpya Ufanyike tuone kama watarudi Bungeni tena maana wananchi hatuwezi kuvumilia Uhuni unaofanyika.

Na litakuwa fundisho na mwisho wa wananchi kuchagua viongozi wababaishaji wanaoweka maslahi yao na vyama vyao mbele ya maslahi ya Taifa kwanza, Nidhamu na Maadili ni nguzo pekee ya Utawala bora. Na Bunge ni sehemu muhimu ya Utawala wasifikirie wao wako nje ya Utawala maana wanatakiwa kushiriki katika maamuzi na katika nafasi zao. Tukiyapuuza ama kuyakana haya kwa kuoneana Huruma na Aibu kwa sababu za kujuana itafika wakati hawa watu wataingia na Mbwa Msikitini!

Aslaam Aleikum – Ramadhan Kareem

Destiny helper Vs Destiny killer

 

The World is changed by your example not by your opinion

FB_IMG_1466636877457FB_IMG_1466636842359FB_IMG_1466636827879FB_IMG_1466340175451FB_IMG_1466636871860

Father’s Day moment

FB_IMG_1466659563263FB_IMG_1466659686228-1“Dad receiving Fathers day gifts, Maryam drew The Kaaba or kabah. Kaaba is a building “Cube” at the center of Islam’s most sacred mosque, and the most sacred place in the world. Al-Masjid al-Haram, in Mecca, Saudi Arabia. It is the most sacred Muslim site in the world.It is considered the “House of Allah” and has a similar role to the Tabernacle and Holy of Holies in Judaism…. It was built by Adam then God sent prophet Abraham and his son Ismail to rebuild it…( source Wikipedia)” —- Ms. LB  FB_IMG_1466659637794This is so touchy! Kwakweli kama unajijua cropped-2016-06-22-20.49.10.jpghaujaumbwa na roho kama ya Mr. Mali Kimesera then usifate wanawake au mwanaume mwenye watoto. Kama huwezi penda mtoto ambaye si damu yako then LEAVE THE SINGLE MOTHERS / FATHERS ALONE! Usijifungie mibaraka kwa kunyanyasa mtoto kisa si damu yako! Bora kuwa mkweli kwa nafsi yako. Kuna ndugu yangu mmoja  na rafiki yangu mwingine hivi wao niliwasikia kabisa wakisema kuwa wao hawawezi kulea mtoto wa mtu mwingine. Which to me I respect watu ambao wako honest kuliko wanafiki!………Mungu azidi mbariki sana Mr Mali, roho aliyo nayo ni ya pekee sana. FB_IMG_1466659504183FB_IMG_1466659657729

Kowak Girls Secondary school students (Class of 95) & their teacher

IMG-20160622-WA0004Stellah Gellan(kushoto) Yasinta (wapili kushoto), mwalimu wetu kipenzi Mr Casmir Nkuba aliambatana na mwanaye Aneth Nkuba (mtu kati) pamoja na Christian. Dhumuni la kukutana ilikuwa ni kumsalimia na kumkabidhi Ile zawadi ya Powerbank. IMG-20160622-WA0005Wapendwa wasomaji wangu, hawa ni baadhi tu ya wanafunzi wenzangu ambao ni wanafunzi waanzilishi wa Kowak Girls Secondary school, wakiwa pamoja na Mwalimu wetu ambaye alikuwa tukimuona ??? Alikuja kufundisha Kowak Girls akiwa kijana sana fresh from school. Ndo maana amekuwa karibu sana nasi wote. He’s such a good friend to all of us. Often nikiwa Bongoland  huwa ndo mtu na socialize naye as ni mtu wa story sana. Kama wewe ni mtembeleaji wa hii blog basi utakuwa umeshawahi ona sura yake……… Kowak ilikuwa secondary ambayo nilianzia (Kowak ni kijijini kwa mama yangu mzazi. Ndipo alipo zaliwa) then nikamalizia Nurulyakini Secondary school iliyopo Temeke Mikoroshini. IMG-20160622-WA0008Nimefurahi sana kuona wanafunzi wenzangu baada ya miaka mingi sana. Class of 1995IMG-20160622-WA0003Haya hiyo ndo zawadi ya Powerbank, japo sijaelewa bado ni kitu gani lakini naona mwenyewe kafurahia. IMG-20160622-WA0001“Leo nimepata wageni ofisini kwangu, nao ni hao wanaonekana katika pichaa zilizorushwa hapa na Yasinta. Wageni hawa wameniletea zawadi nzuuuuri ya Powerbank ambayo ninyi nyote humu mmeamua kuninnunulia. Jamani ASANTENI SANA, Mwenyezi Mungu AWABARIKI wote. Awajalie Afya Njema pamoja na familia zenu. Awajalie mafanikio maradufu katika kazi zenu, pale mlipotoa kwa ajili yangu papokee zaidi. Kwa Powerbank hii nitahakikisha nakuwa online throughout” maneno yake Mwl. Casmir Nkuba IMG-20160622-WA0007Ladies, this was really nice. Thank you so much kwa kutuwakilisha. Mbarikiwe sana……..class of 1995 Rocks!

Hot shot of the day

FB_IMG_1466659492262Award winning International Designer Linda Bezuidenhout looking beautiful as always! Lovely!

Don’t lose faith when you see others receive answers to their prayers!

Don’t lose faith when you see others receive answers to their prayers. FB_IMG_1466629245286

An elephant and a dog became pregnant at same time. Three months down the line the dog gave birth to six puppies. Six months later the dog was pregnant again, and nine months on it gave birth to another dozen puppies. The pattern continued.

On the eighteenth month the dog approached the elephant questioning, “Are you sure that you are pregnant? We became pregnant on the same date, I have given birth three times to a dozen puppies and they are now grown to become big dogs, yet you are still pregnant. Whats going on?”.

The elephant replied, “There is something I want you to understand. What I am carrying is not a puppy but an elephant. I only give birth to one in two years. When my baby hits the ground, the earth feels it. When my baby crosses the road, human beings stop and watch in admiration, what I carry draws attention. So what I’m carrying is mighty and great.”.

Don’t lose faith when you see others receive answers to their prayers. Don’t be envious of others testimony. If you haven’t received your own blessings, don’t despair. Say to yourself “My time is coming, and when it hits the surface of the earth, people shall yield in admiration.”

R.I.P the loving stepmother! Pole sana Obwaya Zab!

Screenshot_2016-06-21-22-45-01-1I was going through my Facebook and stumbled upon this ?bittersweet farewell status for a loving stepmother which made me think for a minute! How many people in this planet particularly Tanzanians to be specific would have shared not exactly but  at least similar status (“MY LOVING STEPMOTHER”) about their stepmothers or stepfathers? Mmh! Ask me nothing as I got nothing to say but tears to wipe for the rest of my life!!…….. What about you? Would you?

Poleni sana wafiwa, Mungu awe nanyi katika kipindi hiki kigumu! R.I.P the loving stepmother!

2014 Green Mile Safari was banned from Tanzania! Now is coming back! What happened?! And who has his / her hands in it?!!

2014: Green Mile Safari banned from Tanzania after videos of horrific wildlife crime emerge.

2016: Green Mile Safari may be returning.

What Changed? Green Mile Safari, based in Abu Dhabi, was barred from Tanzania after videos emerged showing dozens of instances of wildlife crime called “shocking”, “horrific” and “abhorrent” by media. Now, they are not only being allowed back into the country but may be given a huge plot of conservation land to continue their behavior.

Who was involved in letting them back into Tanzania?  FB_IMG_1466628770049Visit www.greenmilesafari.org to sign the petition.

Source: Wildleaks.org

Screenshot_2016-06-22-16-42-30-1

 

Hapana chezea “Luopians” na swag zao

The Luo Swagg!

A Jaluo Drives into a Petrol Station in his sleek, state of art Range Rover Sports…..

Jaluo: “Omera Jaza Petrol Super, Full Tank”

Attendant: I only speak English Sir

Jaluo: Ok Sir, Good Morning. I currently feel a profound desire to replenish the propellant of my motorized automobile, therefore, I cordially request you to transfer from your subterranean reservoir a sufficient of combustible fluid of the highest octane rating to fill the appropriate receptacle of the said perambulation to the Brim.

Attendant: Heri ile ya kwanza mkubwa. Ulikuwa unasema?

Michelle Obama’s speach at CCNY: Worth watching!

Screenshot_2016-06-20-17-52-24-1Please spare at least 25 minutes of your time to whatch Michelle Obama last commencement speach as First Lady of United States of America at CCNY 2weeks ago. One of the best, powerful, transformational speach! Inspiring in all levels!

Hot shot of the day

Screenshot_2016-06-19-11-51-50-1OMg! Isn’t she pretty! Yani Wema huwa anapendezaga lakini hapa nime ? ? wow! Too cute! ??? Screenshot_2016-06-19-16-49-14-1Mrembo sana! Hii Ramadan inaisha lini jamani? Haiwezi kugeuzwa kuwa  ‘infinite’ ??

Mother and son moment

IMG-20160617-WA0000Beautiful! Mama na kijana wake, pendeza sana. ….btw, Grace is my school mate at Kowak Girls Secondary school.  Siye ndo tulikuwa Waanzilishi wa Kowak Girls ??