Category Archives: Uncategorized

Father’s Day moment kutoka kwa Kichuna cha Kizaramo!

Screenshot_2016-06-20-10-17-32-1Hivi ndivyo Designer wa kimataifa Linda Bezuidenhout, mama wa LB, Kichuna cha Kizaramo, Muke ya Mali Kimesera alivyo anza siku yake kwakutoa shukran zake za dhati kwa baba yake mzazi na mumewe. Linda kwa kupitia accounts zake za Facebook na Instagram alitoa ujumbe kama unavyosomeka hapo juu ☝Screenshot_2016-06-20-10-17-55-1Kisha akawekwa videos mbili (hazipo hapa) ambazo zinaonyesha akifanya mambo katika ‘idara’ ya chakula. Hii ilikuwa special cooking for Father’s Day celebration!Screenshot_2016-06-20-10-17-45-1Wow! Vinavutia eeh! Yummy! Screenshot_2016-06-20-12-47-05-1Baadaye akamshukuru kaka yake Sekhulu kwa kua kaka mwema na kumtakia furaha ya wakina baba dunia kama inavyo someka hapo juu ☝Baada ya muda si mrefu akaweka picha zifuatazo? na maelezo yake yalisema……….”It was a pleasure to have my friend Gisele with her family. Marlinda had so much fun with Eli. While her other son Keneth was watching ball with Mali it was a lovely Sunday and the wether was so good. Not too hot not cold just perfect” FB_IMG_1466435734665FB_IMG_1466435765838FB_IMG_1466444807373Isn’t that delicious! Wow! Mie Mjaluo mie mapishi haya nitayawezea wapi wajameni ?? hapa ni mwendo wa Kamongo, ugali wa Muhogo, na  mlenda wa kijaluo ??  FB_IMG_1466435743153Marlinda akifurahia futari na rafiki yake ambaye ni mtoto wa rafiki wa Linda FB_IMG_1466444749832Wow! So beautiful! Hongerena sana Linda wewe ni mwanamke wa shoka! Umekamilika Idara zote ??? uzidi kubarikiwa siku zote!……..Happy Father’s Day to Mzee Bezuidenhout, Mr Mali, and brother Sekhulu ?

Money Tip: Live below your means

Screenshot_2016-06-20-11-20-50-1

Financial Advisor at World Financial Group.....Houston, Texas
Betty Achapa: Financial Advisor at World Financial Group…..Houston, Texas

Father’s Day moment

IMG-20160619-WA0005Mwl. Nkuba and his princess Angel Nkuba wakiwa wana enjoy quality time ya father and daughter siku ya jana…..lovely! Mbarikiwe sana

Ni mahafali ya kisiasa au uchizi wa kisiasa!-M.M Mwanakijiji

Na. M. M. Mwanakijiji FB_IMG_1464961475070Inawezekana hili jambo lilinipita; kwamba, vyama vya siasa vina vyuo na shule zake na sasa wanafunzi wake wanaanza kuhitimu. Nimesoma kuna mahafali sijui ya CCM mahali gani mengine ya Chadema sehemu nyingine, na labda kuna mahalafi ya ACT, CUF, UDP na vyama vingine.

Nisichoelewa ni kuwa hivi vyama vilianzisha vyuo au shule lini ambapo wanaosoma ni wanachama wao au watoto wa wanachama wao peke yao? Najua CCM iliwahi na bado ina baadhi ya shule za Wazazi, lakini sijajua kama ina vyuo vya wazazi vinavyotoa elimu ya juu. Na sina uhakika kama wazazi wa CHADEMA na wenyewe wana shule au vyuo vyao.

Hivi vyuo na shule za vyama vya siasa ambapo wanafunzi wake ni wanachama wa vyama hivyo tu – ndio hawa wanahitimu – ziko wapi na zinaongozwa vipi?

Ila kama ni shule na vyuo hivi hivi vinavyochukua watu wa kada, na mirengo mbalimbali ya kisiasa kwanini wanaosoma pamoja katika taifa; ni vipi tena kuna mahafali nje ya yale ambayo yanafanywa na shule au chuo kizima kwa wanafunzi wote? Siyo, kwamba tutafika mahali tutakuwa na kuhitimu JKT kwa mirengo ya vyama vya siasa?

Au hiki kinachoitwa “mahafali” kwa ufupi ni maigizo ya kuhitimu ya waliokwisha hitimu na wengine? Kwamba, hawa walishahitimu na kufanya mahafali na wanafunzi wengine ila ili wajione ni tofauti zaidi basi wameandaa mahafali ya kisiasa ambayo hayahusiani na elimu waliyoisoma?

Kama hili ni kweli, itakuwa vibaya nikisema kuwa huku ni kuchizika kwa taifa zima? Hivi wasomi wetu wameshindwa kuona falacy ya kiakili iliyoko kwenye mahafali yasiyo mahafali? Kama kinachofanywa ni sherehe za kuagana au tafrija tu ya watu wa chama fulani kwanini wayaite mahafali haya; kama siyo uchizi wa kisiasa (political insanity) iliyopitiliza tuite nini basi?

Wizara ya Elimu inaruhusu vipi kuwepo na mazingaombwe haya ambayo hata yanaelekea kugawa watu na kuleta migongano wala isiyo na ulazima. Mahafali yafanyike chuoni, au shuleni kwa wanafunzi wote wahitimu. Sherehe nyingine watu wafanye kama sherehe zao tu lakini wasijichanganye wenyewe kuwa ni sherehe nyingine za mahafali kwani hatari yake ni kuendekeza siasa mno hata mahali pasipostahili.

Futilia mbali mahafali ya CCM, ya CHADEMA, ya TLP na madudu mengine haya yanayoitwa “mahafali” ili kuondoa migongano mingine isiyo ya lazima. Wanaotaka kufanya sherehe zao wafanye sherehe zao lakini siyo kurudia mahafali vinginevyo utakuwa ni uchizi wa kitaifa.

Tunaanza kuendekeza mno siasa hadi mwisho tutakuwa na makanisa na misikiti ya kisiasa; masoko na maduka ya kisiasa; na mwisho wa siku tutakuwa “sisi” na “wao” kwenye mambo ya msingi na tutashangaa tumefika fika vipiKama kwenye shule na vyuo vyenu miaka yote ya elimu hamkubaguliwa kupata elimu; vipi kwenye kuhitimu mjibague.

Uchizi wa kisiasa huu. Labda mnieleweshe umuhimu wake saaaaaaana (kwa sauti ya Baba Mshamu).

Source: zamampya.com

Mahafali ya Chadema ?

Mahafali ya CCM ?

You Be The Judge??

Don’t limit God. Let Him give you His wisdom!

0cead71623c99263e9c2af9c750ff40eDuring Solomon’s time, the common assumption was that men from “the East” and Egypt set the standard for wisdom. They were thought to possess a special kind of wisdom. Yet Solomon demonstrated a superior wisdom. A different kind of wisdom. Wisdom greater than any human wisdom.

The Bible indicates that he displayed three kinds of wisdom. First, he excelled in “proverbs.” This was very practical wisdom. These proverbs provide insights into how to live. How to make decisions and know what to do. But the Bible makes clear that these were not just clever sayings but inspired by his relationship with God.

Second, Solomon excelled in writing songs. These represent the heart. Emotions. Feelings. Here, we see the byproduct of Solomon as a musician, artist, and poet, and show us that God understands our hearts as well as our minds.

But Solomon also excelled at a kind of wisdom based in nature, creation, and science. He studied animals and birds, fish and plants. This investigation produced a degree of wisdom that was profound and far-reaching.

Solomon demonstrated just how diverse wisdom can be, and the many ways in which wisdom can be acquired, applied, and expressed.

Today, remember that, just as in Solomon’s time, the world is filled with people who are smart. Who have knowledge and intelligence, clever and crafty. But, just as He did with Solomon, God offers us much more: His wisdom. Practical wisdom. Poetic wisdom that touches our hearts. Wisdom about nature and creation.

In your life, don’t limit God. Let Him give you His wisdom, to guide you in every area of your life. EmilysQuotes.Com-seek-wisdom-knowledge-past-future-great-Lumbee-Native-American-ProverbSource: inspiration.org

The older I get the more I’ve come to appreciate father’s day!

FB_IMG_1466367155189This is a pic of me and my dad on my first birthday. It’s an interesting picture for me because he was there when I began my life but he didn’t make it to see how my life would unfold. He died when I was 9 from a heart attack at the age of 36. And this tragedy has shaped every aspect of my life. And on days like today, the older I get the more I’ve come to appreciate fathers day. Because even though my dad wasn’t around much because of his battle with alcoholism. He did help facilitate my life and for this I’m extremely grateful. I’ve learned to make peace with who he was in life and death. I wish every father, a #happyfathersday and if your dad is still around I encourage you to drop them a text or a call even if the relationship is strained. There is much healing and peace in giving honor today to the man God used to create you. ~~~~~~Pastor Devon Franklin

Happy Father’s Day to the soon to be father!

2016-06-19 08.53.53Awii! I’m feeling you mdogo wangu! Yani hapa naimba Utegi eeh! Utegi eeh! Utegi eeh! Utegi Ltd halafu namalizia kwa dua ?? can’t wait  for him to be here! We gonna have THE PARTY! eeh! Mungu mlinde my unborn nephew aje salama katika hii dunia. Amina! ….Happy Father’s Day baby brother love you mingi sana!

Hot shot of the day!

FB_IMG_1466340175451Be a man! Be a father! Teach young men how to treat and respect women! You will always be blessed!

Words of wisdom!

#HadithOfTheDay One day a man came to the Prophet (peace be upon him) and said ‘I want to be the best person, the person with the most faith. Advise me’ Do you know what the Prophet said? He didn’t say, pray all night, or fast all year, or perform Hajj/Umrah each year? He said improve your character. Improve your character. There are many people who pray, fast, go to Umrah, many people who have long beards and fancy hijabs. But not many people who constantly strive every single day to improve their character and the first step is to control your tongue in times of anger. May Allah give us all this ability. Join us to say Ameen FB_IMG_1466340211988

Happy Father’s Day to all fathers out there!

Sir.O.O Igogo, baby brother Guka Igogo (middle), baby brother Mzee William Igogo (right side). Back in the days, @Home, Keko Juu
Sir.O.O Igogo, baby brother Guka Igogo (middle), baby brother Mzee William Igogo (left side). Back in the days, @Home, Keko Juu

Home doesn’t need a MAN. It needs a FATHER!! Have you been a FATHER to your children? Or you have failed them? It never too late to start all over again and do it right while you are still breathing!!……Happy Father’s Day to all good fathers out there! Mbarikiwe sana!FB_IMG_1466339801063-1What a throw back Sunday! Baby brother Guka at 3yrs old and dad ake.?? priceless moment!

Ijumaa Kareem

Screenshot_2016-06-17-08-46-17-1Tiffa Dangote katika ubora wake! Too cute!………..Ijumaa na Ramadhan Kareem to all Muslims………..Happy preparation day and Happy Sabbath to my fellow believers …………Praise the Lord to all Christians!…..Sorround yourself with greatness! ❤❤❤

Ladies! Be yourself! Embu wasikilize wanawake wa shoka!

Cheka kidogo upunguze stress!

FB_IMG_1466177172573

At least Jacqueline Mengi agrees with me!

Screenshot_2016-06-17-08-43-50-1Napenda kuona wadada wanao jitambua kuongea vitu kwa uwazi! Hilo swala nimeliongelea hapa juzi tuu (soma hapa), na leo kuona Jacqueline naye analiongelea nimependa sana! Nivizuri kuwafundisha hawa wadogo zetu wakike na wakiume  wajue kuwa UTU ni kitu cha thamani sana kuliko muonekano wa nje! Screenshot_2016-06-17-08-43-58-1Yani, mimi huwa nikishamjua mtu ana roho fulani ya ‘kishetani’ hata kama anaelimu ya darasa gani huwa namdharau sana! Hata kama wewe ni mzuri na una maendeleo lakini roho yako ni mbaya, mchonganishi, mnafiki mzushi, unachukia kuona wengine wana furaha kwakweli mimi mtu kama huyo huwa namshusha thamani, nakama nakufahamu basi nitakuonyesha dharau LIVE! Sijuwagi “kushobokea” watu wenye roho za kwanini!….. Asante Jacqueline Mengi kwa kuliona hili. Mfano nzuri sana wa kuigwa!…..and you look so beautiful!……….please tembelea blog /website ya Jacqueline kwa jina la www.jnmengi.com

Siku za mwisho! Just thinking out of the box!

Screenshot_2016-06-16-08-49-03-1Siku za mwisho manabii wengi watajitokeza, watadanganya wengi na wengi watafuata!…… Hawa wachungaji ambao wanaishi maisha ya gharama ya juu wakati waumini wao ambao ndio chanzo cha mapato yao wana hali duni kupindukia! Je, hawa ni manabii wa kweli au ndo wale wa siku za mwisho?!! I am not judging just thinking outside the box! But You Be The Judge ???

It’s never too late to chase your dream! You go AY!

Screenshot_2016-06-16-08-49-57-1Its never too late to achive your dream! Hata kama una miaka 100! Kama una nguvu za kuisaka hiyo dream yako then go for it! Kwasababu kama Mungu ndo alipanga basi utaipata ndoto yako regardless of your age! Usiache watu wenye ‘roho za kwanini’ wakukatishe tamaa! Hii dunia ya leo where people like Diana Rose at age of 70 amebeba mimba kwaajili ya kumtimizia mwanae ndoto ya kuwa na mtoto! watu kama Janeth Jackson at ago of 50 amebeba mimba! Sasa wewe unanini ukate tamaa! Vera wang ali designe nguo yake ya kwanza at age of 40! Steve Harvey achieved his dream (TV show) at age of 39! Tyler Perry from homeless at age of 27+ to millionaire at age at age of 43!…….You go AY! Good job!

Should Men Without Kids Avoid Dating Single Mothers?

After sharing a guest-post on step-parenting from the step-child’s point of view, one commenter asked an interesting question: “Should a man with no kids be hesitant to date a woman with kids?” african-american-familyFirst, whether a man has children of his own or not, there is nothing wrong with preferring to date women without children. We are all free to make up whatever dating preferences we want. They are called personal preferences for a reason and we don’t need the approval of anyone else when it comes to what we like. However, there are a few things childless men should keep in mind when deciding whether they are ready to date a woman with a child, or children. Women, would you agree on the following?

Figure out if you like or want kids BEFORE dating a woman with children.

When you are single and looking to mingle, you generally will not hurt anyone if you start dating “just to see where things go.” Plenty of men do this all the time. But when deciding to date a woman with a child, you should be clear about Straigectations for the relationship upfront with yourself and her. In other words, if you’re still in the “dating just to date” phase of your life, involving a woman with a child is probably not the type of relationship you should engage in because your actions will more than likely impact the lives of two people — the woman and the child. While the age of the child plays a factor, if you’re not looking for anything serious, you shouldn’t play the “I’ll figure it out” game with a ready-made family.

Further, if you’re not a kid person or don’t want kids, you should not date a woman with kids to see if you’ll change your mind. This is not a video game that you can turn off when you decide you do not like how the game is playing out. That is a personal decision you should figure out long before you involve a woman and her child in your life. Save the games for the rest of the single people in the world who do not have the responsibility of looking out for the emotional well-being of themselves and their child.

Do you want kids of your own?: I’m always surprised at how few people discuss this topic upfront. Some women with children do not want any more kids, and this is an awkward conversation to have after you have already exchanged “I love yous” or “I dos.” If you want one or two kids and she already has one or two kids, this is a conversation you should have sooner rather than later. In addition, if you do not want any (biological) kids of your own, do not assume that just because she has one or more child from a previous relationship that she does not want anymore with you.

You are not in first place: As a continuation of the above point, one of the hardest changes for many single men who decide to date a woman with a child is realizing they are not in first place. In general, the needs of the children come first. This is a hard adjustment for many men to make because when you’re single and don’t have any kids, you can be as selfish as you want. People with children are used to (hopefully) putting the needs of their children before their own. I have friends who have gotten upset because a woman they are dating has to drop everything for their child. This makes not one iota of sense. A woman should not be placed in a position to choose between the child she loves and the man she likes. If you don’t understand that, then you aren’t ready for this type of relationship and it is best if you do not bother wasting her time or yours.

How is the relationship with her baby’s father?

I’ve written on whether you need the baby’s father approval before  — and for the record, no you do not. But while the relationship with the father of the woman’s child should not dictate your relationship, their relationship –- whether good or bad –- will play a role in your lives. It’s important to know what you are getting yourself into. Before your relationship gets serious, you should know what role, if any, the baby’s father has in the child’s life, and what type of relationship the two parents have with one another. Contrary to popular belief — and Lifetime movies — not every woman with a child is looking for a second parent if the biological parent is actively involved in the child’s life and doing a good, low-drama job of co-parenting. An honest conversation about this should minimize the chances of you making a surprise cameo on a VH1 reality show.

Source: madamenoire.com

Matukio katika picha: Siku ya mtoto wa Africa

Screenshot_2016-06-16-15-54-01-12015-04-22 21.13.43What a priceless genuine smile! I wish Maria could frame this picture! Too cute!…………Happy African Child Day to all Africans! Let us protect our children from all types  of harm and danger

Screenshot_2016-06-16-16-18-01-1Lovely!

Kutoka Facebook

FB_IMG_1466110587516Natural look on fleek?? pendeza sana mdogo wake na mimi!……… Nimekufananisha na First lady Janeth Magufuli! Too cute!……. Mke wa mtu huyu heshima muhimu!

Congratulations Thressa!

FB_IMG_1466048586285-12015-04-22 21.13.43Thressa!!! Congratulation my darling, you did it,  so proud of you little girl! Very well deserved and  best wishes on your next adventure! I’m happy to share the excitement of your graduation day in my blog!

FB_IMG_1466115990023-1Graduation day for my genius princess; 3 medals in Math, Science and Reading and a trophy. Thank you Jesus for brains! #itrunsinthefamily #brainpower #shegotitfromhermother #elementarydonewithmiddleschoolherewecome.

2015-04-22 21.13.43Congratulation mommy Thressa, for raising such a brave, smart girl! Indeed, To God be the glory! I’m happy for both of your. May God keep blessing you and use her to make the world a better place for others! Bravo! ………. My dear readers, Thressa is a daughter of my fellow African diaspora from Lusaka, Zambia as well as my former church members at Trinity SDA churh in Kalamazoo, Michigan.  Thressa is a very  dear friend to my darling daughter Mercy! Yesterday she finished her elementary studies now heading to middle school! She received 3 metals as you can read from her mother above! Screenshot_2016-06-16-15-54-49-1FB_IMG_1466048701755FB_IMG_1466048692368-1The pictures above is Thressa with her teachers! FB_IMG_1466048614237-1Once again, congratulations Thressa, live long to conquer the whole world!???