Father’s Day moment kutoka kwa Kichuna cha Kizaramo!

Screenshot_2016-06-20-10-17-32-1Hivi ndivyo Designer wa kimataifa Linda Bezuidenhout, mama wa LB, Kichuna cha Kizaramo, Muke ya Mali Kimesera alivyo anza siku yake kwakutoa shukran zake za dhati kwa baba yake mzazi na mumewe. Linda kwa kupitia accounts zake za Facebook na Instagram alitoa ujumbe kama unavyosomeka hapo juu ☝Screenshot_2016-06-20-10-17-55-1Kisha akawekwa videos mbili (hazipo hapa) ambazo zinaonyesha akifanya mambo katika ‘idara’ ya chakula. Hii ilikuwa special cooking for Father’s Day celebration!Screenshot_2016-06-20-10-17-45-1Wow! Vinavutia eeh! Yummy! Screenshot_2016-06-20-12-47-05-1Baadaye akamshukuru kaka yake Sekhulu kwa kua kaka mwema na kumtakia furaha ya wakina baba dunia kama inavyo someka hapo juu ☝Baada ya muda si mrefu akaweka picha zifuatazo? na maelezo yake yalisema……….”It was a pleasure to have my friend Gisele with her family. Marlinda had so much fun with Eli. While her other son Keneth was watching ball with Mali it was a lovely Sunday and the wether was so good. Not too hot not cold just perfect” FB_IMG_1466435734665FB_IMG_1466435765838FB_IMG_1466444807373Isn’t that delicious! Wow! Mie Mjaluo mie mapishi haya nitayawezea wapi wajameni ?? hapa ni mwendo wa Kamongo, ugali wa Muhogo, na  mlenda wa kijaluo ??  FB_IMG_1466435743153Marlinda akifurahia futari na rafiki yake ambaye ni mtoto wa rafiki wa Linda FB_IMG_1466444749832Wow! So beautiful! Hongerena sana Linda wewe ni mwanamke wa shoka! Umekamilika Idara zote ??? uzidi kubarikiwa siku zote!……..Happy Father’s Day to Mzee Bezuidenhout, Mr Mali, and brother Sekhulu ?

Leave a Reply