Clara C. Awiti’s send-off party

2016-05-02 08.19.32-1Pichani ni ambaye alikuwa bibi harusi mtarajiwa kwa wakati huo dada Clara Celestine Awiti wa Mbagala, Dar es salaam.  Clara ni mtoto wa mjomba wangu upande wa mama yangu. Baba yake Clara ni mtoto wa sita (6) kuzaliwa kwa familia ya marehemu bwana na bibi Cornel Awiti wa Kowak, Rorya, Mara. Mama yangu yeye ni mtoto wa nne (4) kuzaliwa kati ya watoto 12. Kwa sasa watoto walio hai ni kumi (10). 2016-05-02 08.15.53Send-Off party hii ilifanyika kwenye ukumbi wa Kilimanjaro uliyopo ndani ya kiwanja cha maonyosho Saba saba, Kurasini siku ya Alhamisi, April 28th, 2016. Pichani ni bibi harusi mtarajiwa na mpambe wake Vumilia Sassi ambaye pia ni mtoto wa shangazi yake ! Wamependeza sana. ..2016-05-02 08.35.25Wasimamizi wa bibi harusi mtarajiwa katika pozi 2016-05-02 08.33.53Mmependeza sana my nieces….. kushoto ni Teddy Shija na Sarah Alexander 2016-05-02 08.31.59My people! Love them!  Hapa ni mama yangu mkubwa, mke wa marehemu baba yangu mkubwa. Mama yake na Grace Anyango-Nyoyoo, Aphino Igogo, Kenneth Igogo,  Dr. Obadia Igogo, MzeeWilliam, Isaka Igogo, na Rhoda Igogo. Na aliye pembeni yake ni mjukuu wake aitwaye Debora. 2016-05-02 08.29.54Mama mdogo wa bibi harusi mtarajiwa mke wa marehemu Martin Cornel Awiti, akiwa na furaha iliyo changanyika na huzuni kwani siku zote ni ngumu sana kukabidhi mwanao japo ndivyo maisha yalivyo hivyo hana budi!2016-05-02 08.21.43

Vumi a.k.a Dorice Sassi katika pozi. Yeye ni binamu yake Clara upande wa mama. Vumi kwangu mimi ni mtoto wa mama yangu mdogo na pia ni mtoto wa marehemu baba yangu mdogo. Kwani mama yangu mdogo aliolewa / ameolewa upande wa baba yangu. Soma hapa 2016-05-02 08.18.21binamu zake Clara. Mwanasheria Magreth O.O Igogo na Janet O.O Igogo  a k. a Mrs Tobby Nyagilo…… pendeza sana wapendwa 2016-05-02 08.25.51Shangazi jamani mbona upo busy na simu?? 2016-05-02 08.19.32Mjomba wake Clara na pia ni baba mlezi mzee O.O Igogo akitoa nasaha zake kidogo kabla ya kumpa zawadi ya pongezi binti yake
2016-05-02 08.28.09mashangazi katika picha ya kumbu kumbu 2016-05-02 08.27.42Mashangazi hao naona wanafurahiya sana 2016-05-02 08.23.112016-05-02 08.20.49Awwh! Mama zangu hao Nawapendaje sasa mabinti wa mzee Cornel Awiti!!……. kutoka kushoto ni mama yangu mdogo Magreth Cornel Awiti a.k.a Mrs Agonda Sassi, Gloria Cornel Awiti a.k.a Mrs Jerry Kiwira, na mama mzazi Cecilia Cornel Awiti a.k.a Mrs Otieno Igogo ❤❤❤  hawa wote ni mashangazi wa bibi harusi mtarajiwa 2016-05-02 08.14.00nawapenda sana mama zangu 2016-05-02 08.15.53Kwa mara nyingine tena, hongera sana Clara. Mungu awe nawe.

Leave a Reply