Hot shot of the day

Screenshot_2016-06-28-08-54-00-1Mwamvita Makamba, kapendeza sana. Mimi binafsi sipendi kufunga vilemba lakini huwa nasifia kama mtu kapendeza. Siyo kwamba nachukia vilemba, hapana! Bali sipendi kichwa changu kubanwa banwa, naona kama nashindwa kupumua! Nilishawahi sema kuwa hata zile rasta za “Kimasai” mimi nimewahi kusuka mara moja tuu, tena kwa kulazimishwa and within a week nilizitoa! ??? …..anyway, Mwamvita kapendeza sana!

Leave a Reply