Blessing akutana na Dr Mpanju!

Blessing akiwa na Dr. A. Mpanju (Parmanent Secretary РDpty) nyumbani kwake Masaki, Dar . Dr Mpanju yeye ni mlemavu wa macho (kipofu), siku zote kumbuka kuwa  upendo ni tendo linaloweza kushuhudiwa hata na ambao hawana macho!

Leave a Reply