Wazo la leo

“Pegine na skuli nako pia anao uhodari kama huu! Vinginevyo  he won’t and can’t be the kind of role model our children need. Ni vema tukaribishe maonyesho na mashindano ya sayansi na vitega uchumi kuliko mikogo ya kukata viuno mitaani au show za wasanii kama hawa. Kwa watoto wadogo, its not an example I would encourage kids to emulate!” Hayo ni maneno yake Mecky Napoli kuhusu msanii fulani (jina kapuni)…………FB_IMG_1452399938928Maoni yangu mimi kama Alpha: Aliyosema Mecky ni ukweli mtupu, ni maneno ambayo anaongea mzazi mwenye uchungu na mapenzi mema kwa watoto wetu. Nilishawahi kuhudhuria tukio fulani hapa USA ambapo pia watoto walihusishwa yani ilikuwa ni aibu tupu! Cha kushangaza waandaaji wa hilo tukio wengi walikuwa wazazi, jambo ambalolilinifanya iniwie vigumu kuelewa walikuwa wanafikiri nini! Ni vyema tuwe tunatafakari aina ya wasanii tunao waalika kwenye matukio yanayo husisha watoto!! Asante sana Mecky kwa kuliona hilo, ubarikiwe!

Leave a Reply