BRAVO Mh. Rais!

FB_IMG_1453334334878Nani kama John Pombe Magufuli?! Wow! Hatakama unaichukia CCM  ni ngumu sana kumchukia Rais wa awamu ya 5 ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Vitendo vyake vinaelezeya jinsi nafsi  (roho) yake ilivyo! Wiki iliyopita niliandika kuhusu picha za Zari a.k.a “Mrs Chibu Dangote” akiwa ameenda kijijini kwa baba yake na watoto wake. Hizo picha nilizipa Tittle isemayo “True beauty comes from within” soma hapa. Naomba nirudie kusema uzuri wa mtu yoyote yule hauko kwenye sura yake, wala maumbile yake, wala usomi wake, wala mavazi yake n.k bali unapatikana kutoka ndani ya roho yake!FB_IMG_1453320075627Vitendo kama hivi anavyofanya Rais Magufuli ndivyo vitakavyo waunganisha Watanzania pamoja, kujiona kuwa wote ni ndugu haijalishi upo kwenye nafasi gani kimaisha. Ni vitendo vinavyo onyesha kuheshimu kila mtu kwa nafasi yake hata awe mfagia vyoo naye ni binadamu kama wewe anastahili kuheshimiwa na kuonyeshwa upendo. Nimfano nzuri sana kwa jamii. Matendo haya hayafanywi nakila  mtu nilazima uwe na roho ya utu na uungwana to humble yourself, of course humbleness is God’s character thus one must have the Holy Spirit within him / her to humble yourself to this level. Hata kitendo cha mtu kufikiria kujishusha nilazima uwe na Roho wa Mungu ndani yako!………Sisemi kuwa marais waliopita walikua si watu wakujishusha hapana bali Rais Magufuli took it to the whole new level! BRAVO Dr. Magufuli!  Screenshot_2016-01-21-10-11-13-2Nimefurahishwa sana na ujumbe huu wa Missy LB kuhusuana na Mh. Rais. Japo wote tunajua LB haikubali CCM (which I don’t blame her) lakini nafurahia kuona uungwana wake wa kukubali mazuri ya Rais wetu. Ubarikiwe sana #KichunaWaKizaramo FB_IMG_1453390900315 IMG_20160121_094246Hili swala la “kujishusha” kwa Rais Magufuli siyo mara ya kwanza, nitabia amekuwa akionyesha hata kabla hajawa Rais. Napia hivi karibuni tulishuhudia yeye na familia yake wakishiriki katika kufanya usafi wa inchi yetu siku ya sherehe za Uhuru. Ubarikiwe sana Rais na familia yako yote! ?

Leave a Reply