Cheka urefushe maisha yako….. #No romance without finance

 Eti wataalamu wanasema hivi, msichana anapo muuliza mwanaume kuhusu namna anavyo endesha maisha yake kiuchumi haimfanyi kuwa mwanamke mwenye tamaa au kupenda makuu, hapana! Huyo ni mwanamke mwenye akili nzuri / timamu! Kwani hata wao wanaume wasingependa kuona binti zao wanaolewa na wanaume Mburulaz ??? Yakwamba wanatakiwa wawajali wanawake wengine kama ambavyo wangependa mabinti zao watendewe na wanaume wengine! Hakuna pesa hakuna mahaba ??? kuna topic nyingine kasema kama mwanaume hawezi kumudu kununua pete ya ndoa basi huyo mwanaume hawezi imudu ndoa achana naye ???  ee shughuli pevu maana mie nimempenda mmeba mabox mwenzangu ??? Duh! Mapenzi ya mwendo kasi yana kazi kweli! >>>>>>> "She's not a gold digger for wanting to know how you make your living. She's smart! You wouldn't want your daughter to marry a BROKE man either. Fellas!!! Do unto other women as you would have other men do unto your daughter(s). ?? No romance without finance. ?" AskcheyB

Leave a Reply