Faida ya kula magimbi!

fb_img_1478665791234Nilikuwa sijui kuwa Magimbi yanafaida sana mwilini! Hivi vyakula vyetu vya #Uswahili japo wengine wana vidharau lakini ndio tiba kwa magonjwa yote yanayo toka na na kula vyakula vya “kizungu” ??  haya ona faida za kula magimbi nipamoja  na

  • Kuimarisha afya ya ngozi yako
  • Kupunguza risk ya kupata ugonjwa wa Kisukari
  • Inaongoza nguvu ya mwili wako kupambana na magonjwa ya kuambukiza
  • Inapunguza hathari za kupata kansa ya mapafu na kansa ya kinywa
  • Inaongeza nguvu ya kuwa na ubongo mzuri wa ufahamu
  • Inasaidia kuongeza damu mwilini
  • Inasaidia kusaga chakula mwilini
  • Kuongeza nguvu au kasi ya macho yako kuona vizuri
  • Inapunguza msongo wa damu……. namengine mengi. Haya kazania hivi vyakula mpendwa kwaajili ya kulinda afya yako!fb_img_1473857436412

One thought on “Faida ya kula magimbi!”

Leave a Reply