Category Archives: Afya

Faida ya kula magimbi!

fb_img_1478665791234Nilikuwa sijui kuwa Magimbi yanafaida sana mwilini! Hivi vyakula vyetu vya #Uswahili japo wengine wana vidharau lakini ndio tiba kwa magonjwa yote yanayo toka na na kula vyakula vya “kizungu” ??  haya ona faida za kula magimbi nipamoja  na

  • Kuimarisha afya ya ngozi yako
  • Kupunguza risk ya kupata ugonjwa wa Kisukari
  • Inaongoza nguvu ya mwili wako kupambana na magonjwa ya kuambukiza
  • Inapunguza hathari za kupata kansa ya mapafu na kansa ya kinywa
  • Inaongeza nguvu ya kuwa na ubongo mzuri wa ufahamu
  • Inasaidia kuongeza damu mwilini
  • Inasaidia kusaga chakula mwilini
  • Kuongeza nguvu au kasi ya macho yako kuona vizuri
  • Inapunguza msongo wa damu……. namengine mengi. Haya kazania hivi vyakula mpendwa kwaajili ya kulinda afya yako!fb_img_1473857436412

Ugua pole mama yangu Janeth Magufuli!

screenshot_2016-11-10-07-27-31-1Pole sana mama! Naomba Mwenyezi Mungu akupe uponyaji wa haraka. Urudi katika afya yako njema kama ilivyokua mwanzo ili ukapate kuendelea kutekeleza majukumu yako kama mke, mama, na mtumishi wa jamii yetu zaidi ya yote ukapate kuendelea kulitukuza jina lake! Get well soon mama. I love you!

Please watch this video…..!

fb_img_1473857436412

,

The benefits of eating Banana flower

screenshot_2016-09-15-16-42-25-1-1fb_img_1473857436412