Marehemu Andrew na mama yake mzaziÂ
Marehemu Andrew Sanga (aliye simama juu) akiwa na na wana HoustonÂ
Hapa akiwa na watoto wa nduguze / rafikiÂ
akifurahia maisha na rafiki yake Â
great memories, happy  as usualÂ
Sorrounded himself with love and greatness as usual 



“Amri mpya nawapa, mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, mpendane vivyo hivyo” Yohana 13:34………….Bwana Alitoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe milele zote!