Hongera serikali ya Dr. Magufuli

FB_IMG_1460919004400Mdogo wangu Magreth hakutaka kupitwa na hii historia ya kufunguliwa kwa daraja la Kigamboni hivyo ameendesha mpaka darajani na kupiga picha ??? eti anadai Kigamboni sasa kama Texas ??? …….. Hongera sana serikali ya Dr. JP Magufuli kwa kukamilisha ujenzi huo. Najua ulianza wakati wa Dr. Kikwete lakini umemalizika wakati wako hivyo nawapa hongera wote. Sasa sisi wa maeneo ya Kigamboni, New International city, Kibada n.k mambo mswano kabisaaaa ? ………Asante little sis kwa picha ?

Leave a Reply