Hot shot of the day

IMG-20160127-WA0000Hii leo ndio picha yetu ya moto moto! Baba yangu, kaka yangu mkubwa, wifi yangu mkubwa na my nephew  Gabriel.  Wifi yangu yeye anafanya kazi Utegi Technical Enterprises Ltd, hivyo baba yetu ni “top boss” wake. Kwahiyo hapo kuna undugu wa kidamu na ki-business ??  IMG-20160127-WA0001Mambo yakuchangia gari na mumewe (kaka yangu) basi siku nyingine kaka yangu huwa anabanwa na kazi zake hivyo inabidi wifi yangu apande daladala ?? hiyo haikumpendeza boss wake (baba yetu) jana akaamua kum-surprise na “kausafiri” wake ambao hautumii mafuta sana na hivyo nirahisi kwake kumudu mizunguko ya mujini…………..”Amen. It was always painfull to me seeing my own daughter in law jumpimg on daladalas, While I could afford her a  vehicle. So yesterday I suprised her with that small gift. She was Amazed!” ? hayo nimaneno yake babamkwe wa ukweli ?? Haya hongera sana wifi yangu, sasa nikiwa Dar utanikomaje na mizunguko ???❤❤❤ you!

Leave a Reply