kheri ya siku ya kuzaliwa mdogo wangu Magreth!

IMG_20160130_110427Mdogo wangu, kipenzi cha roho yangu, wajina wa bibi na shangazi yangu, nakutakia kheri ya siku ya kuzaliwa kwao.FB_IMG_1454169296383Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa rehema na upendo azidi kumbariki, kulinda, akupe maisha marefu yaliyojaa afya tele, furaha, amani, na upendo mwingi sana. Ukusaidie uweze kuendelea kufikia malengo na mipango yako yote uliyokuwa nayo na unayo tamani kuwanayo. IMG_20160130_110916Unajua wewe ni mdogo wangu ninaye kupenda sana kuliko wadogo zangu wote eee ??? I know mzee William won’t like this ?? but hey! That’s the truth and they all know it ?? IMG_20160130_110657Nakupendaga sana wewe mdogo wangu kwani ni mtu ambaye hauna makuu, una upendo wa kweli, mcheshi, mkarimu, mpole na mnyenyekevu, uliyejawa na hofu ya Mungu. Na unamaakili sana na uwelewa wa hali ya juu. Just love you baby gal!  IMG_20160130_111610Nani kama mama?! Wewe mdogo wangu na ulikuwa unapenda sana kunisaidia kumuhudumia mwanangu wakati yupo mdogo. Ulinisaidi kubadilisha nepi, kucheza naye ili niweze kufanya homework zangu, na pia kunisaidia kumbembeleleza pale nilipo hitaji msaada wako. Leo hii nafurahia sana ninapo kuona mmekuwa Best Friends wanguvu! Mimi sana cha kukulipa chenye thamani ya uliyonifanyia kwani hakuna zaidi ya kusema asante sina mdogo wangu na nakuombea kheri na baraka nyingi sana hapa duniani. Screenshot_2016-01-30-11-29-18-1IMG_20160130_111136Hii ni moja ya matukio ambayo nitayapenda, nitayaenzi, na kukumbuka daima. Just three of us on your birthday!! Natamani itokee tena birthday yako ukiwa USA, will spoil you like tomorrow is end of the world???IMG_20160130_110523Awwih! How do I miss you young lady, bowling is no longer funny without you my game-mate!! Your presence in Kalamazoo made a whole new world to us, and we’ll forever count and cherish those blessed moments! Indeed we are ready for the “re-do!” IMG_20160130_111416Tunakupenda, tunakukumbuka, na tunakungojea tena for the tour across America ??? IMG_20160130_143655Happy birthday my darling babysister and my Lawyer, Advocate Magreth O.O. Igogo. I love you more that you can ever imagine ?❤❤❤

2 thoughts on “kheri ya siku ya kuzaliwa mdogo wangu Magreth!”

  1. Ooh maneno yamenigusa kwenye sakafu ya moyo wangu, nashukuru sana Dada angu Kipenzi M/Mungu akubariki na akuongezee mibaraka teleee maishani..Nawapenda sanaa sis na my number 1 Niece Mercy a.k.a bestieeee yake antii

Leave a Reply