“This loss hurts.But please never stop believing that fighting for what’s right is worth it.” —Hillary Clinton

Madam Hillary amegusia kitu ambacho mimi binafsi nakiamini sana “fighting for what’s right”! Sema amenipa nguvu zaidi kuwa katika kupigania kile unacho amini kuna machungu ya kushindwa lakini katika maumivu hayo hayo bado usiache kuamini katika kupigania kile unacho amini kwani thamani yake ni kubwa!  “This loss hurts. But please never stop believing that fighting for what’s right is worth it.” —Hillary………. Natumaini wasichana wengi watajifunza mengi sana kutoka kwa Hillary Clinton kuanzia aibu aliyoipata mbele ya uso wa jamii kutokana na scandal ya mumewe kuwa na mahusiano na Monica, they way she handled the situation with all the dignity to herself and her family. Vikwazo alivyopitia kama mwana siasa mwanamke nabado akaweza kumudu kufikia kuwa mgombea urais. Pamoja na kuwa alikuwa mke wa mwanasheria, mke wa mwana siasa maarufu na first lady lakini hakuacha ndoto zake zipotee, amepigania kuakikisha she has her own legacy in this great land!…… Nimfano mwema sana ameonyesha siyo tu kwa taifa la Marekani bali ulimwenguni pote!……..Namtakia retirement njema with all the blessings! ??? fb_img_1478632096859

 

Leave a Reply