Mama’s trip to California

Mama yangu pamoja na mama Ruth wakiwa pembezo mwa daraja maharufu sana lijulikanalo kama The Golden Gate bridge huko San Francisco, California

Na hapa wapo kwenye mtaa mzuri uliotengenezwa kwa ustadi wa maua mazuri sana ujulikanalo kama Lombard street huko huko San Francisco, California

Kutoka kushoto ni Mama Otto, mama Igogo, mama Suleman Marando, na Mr and Mrs Apindi Adhero  ?❤ Marafiki na majirani wa mama Apindi wakiwa wamekuja kujumuika nao kusalimia wageni wao Mungu ni mwema sana tuna kila sababu ya kumshukuru

Leave a Reply