Manhood

IMG-20160322-WA0009Ya leo leo hii….. Namuona Sir Igogo kwa kule pembeni, akifatiwa na Mwenyekiti wa TAFFA, Mkuu wa mkowa wa Dar Paul Makonda, na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Kazi bado inaendelea. Majipu ya bandarini yanaendelea kutumbuliwa hayajamalizika. Ni makubwa sana yanahitaji  utulivu na ufundi wa hali ya juu ??

Eeh Mungu linda wazazi wetu, kaka zetu, na viongozi wetu walioamua kutetea haki za wanyonge wa taifa la Tanzania kwa kupambana na mafisadi na wala rushwa ?

Leave a Reply