Mr and Mrs Odinga ndani ya Chato!

IMG-20160403-WA0011Mr. Raila Odinga akitua kwenye Helicopter ndani ya mji wa Chato kwa Rais Dr. Magufuli. IMG-20160403-WA0012Ukweli: ukiwa na mtu mmeshibana kwa miaka mingi halafu hata wazazi wako hawajui au hajawahi fika kwenu. Basi huyo si rafiki ni “shoga” yako tu wa kusaidia maisha ‘kimujini mujini’ Rafiki lazima atajua kwenu na wakwenu watamjua!! IMG-20160403-WA0013Karibu Chato  shemeji, hapa ndiyo kwetu. Jisikie hupo nyumbani ?IMG-20160403-WA0015urafiki wa Dr. Magufuli na Mzee Odinga ni wa miaka mingi sana. Na leo hii amekuwa mtu wa kwanza (kwa viongozi / politicians) kutembelea Chato akiwa kwenye likizo yake ya kwanza. Hii inamaanisha kuwa Mzee Raila Odinga ni rafiki wakaribu sana na Dr. Magufuli au naweza sema ni ‘mabest friend’ kwa lugha ya kimujini mujini ?IMG-20160403-WA0019Raha sana kuwa na rafiki mliye shibana namna hii! IMG-20160403-WA0018Mama Magufuli anakula matunda ya uzao wake japo umri umekwenda. Lakini lazima atakuwa anamshukuru Mungu kwani kamuwezesha kuyaona matunda ya uzao wake kwa macho yake yeye mwenyewe na si kwa kusimuliwa.  Hongera sana bibi. Na urafiki wa watoto zako udumu mileleIMG-20160403-WA0016Walitoa heshima zao kwa kaburi la baba mzazi wa Dr. Magufuli……Screenshot_2016-04-04-11-45-10-1kwaheri ya kuonana. Karibuni tena

Leave a Reply