Beauty is in the eye of the beholder: Mrs Twaakyondo katika ubora wake!

photoBella Ayugi, Mrs Twaakyondo katika ubora wake. Hapa akiwa kwenye ufukwe wa bahari akipunga upepo. Kapendezaje sasa! Too cute! Hips don’t lie ?? A real African Queen must have a “curvy” body ??

Watu huwa wanasema kuwa “beauty is in the eye of the beholder”! Truly agree with this! Kuna watu ambao wanafikiria kuwa mwanamke mwembamba ndio mzuri haswa today’s society hii ya Instagram na Snapchat! Nakuna watu ambao tunaona wanawake wenye mwili wa wastani ndio wazuri, na kuna watu ambao wanaona ‘over size’ women are more beautiful!

But ukweli ni kwamba the real beauty is  all about attitude and confidence that one possesses! And true beauty comes from within! Unaweza ukawa “kimbaumbau mwiko wa pilau” Lakini your attitude, confidence, and character tells something else!…….My personal opinion and I believe many will agree with me is that, any woman (regardless of her size) will look beautiful and attractive if you have positive ‘maturity’ attitude, confidence and yet humble, and a kind heart! Yani, wewe hata kama una vaa size zero lakini roho yako ni yakishetani shetani basi watu hawato ona your body figure bali the devil that is dwelling in you!!……Btw, wataalam wanasema curvy figures are the best in bed and the best romantic partners ???

Jipende jinsi ulivyo! Jikubali na ujithamini wewe mwenyewe! Bado nasisitiza “A real African Queen must have a curvy body” ??

To read other post about Bella click links  ?

Bella_Homecoming, Mrs & Mrs Twaakyondo

Bella Ayugi

3 thoughts on “Beauty is in the eye of the beholder: Mrs Twaakyondo katika ubora wake!”

Leave a Reply