Muhtasari -sehemu ya 6: Nilitembelea rafiki zangu wa nguvu!

Alpha na Jerry

Namshukuru Mungu sana kwa kuniwezesha kuonana na marafiki zangu wanguvu! Ulikuwa ni wakati wanfuraha sana nilipo onana na kaka yangu Jerry Minja. Kwakweli Mungu yu mwema sana. Huyu kaka yangu ni tuliishi naye huko Kalamazoo, Michigan kabla ya yeye kuamua kurudi Tanzania na kuanzisha familia huko.

Pia nilifurahi sana kuonana na rafiki dada yangu Dr Flora Myamba. Huyu bidada naweza andika kitabu kizimaaaa kwaajili yake πŸ˜…πŸ˜… she’s my ride or die friend l! Yani hata kumuita rafiki naona kama nakosea jamani acha tu nimuite ninavyo jisikia, dada yangu! Wenye wivu wakanywe sumu wafe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Huyu bidada na familia yake na ndugu zake wote ni binadamu na nusu!! Yani roho zao ni mfano wa Malaika!! Nafikiri ndio urafiki wetu umeweza kudumu kwa kiwango kilekile cha “grade A” muda huu wote kwasababu tabia na roho zetu zinafafana kwa kiwango kikubwa sema mie SINA uvumilivu wa watu wasiojitambua / wanafiki kama alionao Dr. Flora. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Yani mie nikakujua wewe ni “wakichina” nakupa mkno wakwaheri haraka sanaaaaaaa. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Sijui ku-vibe na fake people. Hiyo imenishinda kabisa mpaka leo hii. πŸ™†πŸ½β€β™€οΈπŸ™†πŸ½β€β™€οΈπŸ™ˆ Hapo tulikuwa nje ya ofisi yake.

Tukiwa ofisini kwa Dr. Flora
Tukiwa site

Baada ya kutoka ofisini kwake akanipeleka site kuona mjengo wao watakao hamia hivi karibuni. Jamani, furaha niliyokuwanayo utasema mjengo wangu mimi!! 😍😍 this mansion is πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Can’t wait kuanza kufanya party zetu like the way we used to do it in Michigan yoo! πŸ˜πŸ˜πŸ’ƒπŸ’ƒ

Ma’am! My friend got money, yo! Msimchukulie poa kabisa, ni level nyingine hii wengi wenu bado sanaaaaaaa kufika level yake! πŸ˜…πŸ˜… Happy and proud of herπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ

Siku ambayo nilikwenda limsalimia kaka yangu Jerry huyu mpwa wangu hakuwepo. Alitamani kumuona aunt Alpha naye aunt Alpha hakusita kufunga safari kwenda kumuona. Ndio mtoto wa kwanza na wapekee (kwasasa 😜) wa Mr and Mrs Jerry Minja.

Muheshimiwa ndio alikuwa nami siku hiyo, hivyo Kristos alionana na aunt Alpha na aunt Magreth. Mungu ni mwema sana.

Hapa ilikuwa siku nyingine mimi na Dr. Flora tulikwenda kula mishikaki ya Samaki pale Container, Mikocheni. 😍😍 love you Dr.

Leave a Reply