“Na waachike tu kuliko wauwawe kwenye ndoa”- Joyce Kiria

Mahaba bila kipigo Inawezekana????

Acha kulala huku umejaa manundu na hasira za mateso ya Ndoa..unakazi ya kulia usiku kucha, moyo umejaa chuki na hasira ya mateso ya kila siku ya hapo nyumbani… huna raha tena umepoteza kujiamini na kujithamini, unajiona huna maana tena…

Nakuambia Siyo kweli ni Ibilisi anakudanganya… Amka Jipende wewe ni wa thamani mnoooo, Bwana anakujali anakupenda sanaaaa… anza kijipenda kwanza kabla hujampenda Baby????

Ivi kwa nini umeng’ang’ania hapo na unateseka ??? kwani ulizaliwa na hiyo Ndoa??? kama anakupa mateso badala ya Mahaba huoni hata yeye kashikiliwa na nguvu za giza… Japo mahaba matamuuuu????? lakini yasiwe ya kipigo ndaoooo Ngachokaaaaaa
.fb_img_1475151929031#MWANAMKEPIGAKAZI????
.
#MEANAUMEPIGAKAZI????screenshot_2016-09-29-07-22-52-1

Leave a Reply