Neema ndani ya Tanzania! Je tupo salama?!!

FB_IMG_1472436063790Haya, Mungu hamtupi mja wake! Na mwenye nacho atazidi ongezewa! Baraka ndani ya baraka katika nchi yenye madini ya pekee duniani (Tanzanite) kote! Hivi karibuni tuliongezewa mibaraka mingine ya ⛽ ⛽ (gas), Mungu akaona hapa nyie wana wangu nawapenda sana mmekuwa wavumilivu miaka mingi mno! Sasa ni zamu yenu; pokea mbaraka mwingine wa mafuta (oil) mjifute kabisa katika nchi masikini duniani………!! Je hii mibaraka viongozi wetu wapo teyari kuipokea kwa unyenyekevu kutoka kwa Mungu na uzalendo mkuu kwa nchi yao?!! Je tupo salama?? Amani yetu ambayo ni nguzo kuu na msingi wa nchi yetu itabaki imara au tuanze kujaza fomu za ukimbizi?!! Mimi sijui bado natafakari!!…………. Embu soma habari hii kisha soma baadhi ya maoni ya watu hapo chini……. ? Screenshot_2016-08-30-14-38-54-1-1 Screenshot_2016-08-30-14-38-54-1 Screenshot_2016-08-30-14-39-09-1 Screenshot_2016-08-30-14-39-17-1 Screenshot_2016-08-30-14-39-29-1Screenshot_2016-08-30-14-40-14-1Screenshot_2016-08-30-14-40-06-1

MUNGU IBARIKI AFRICA. MUNGU IBARIKI TANZANIA………….!!

Leave a Reply