Ugonjwa wa Kansa: Mionzi peke yake haitoshi kutoa tiba…..!

Asante sana Mzee Dominicus Kihwele kwa somo muhimu sana kwetu sote kuhusu ugonjwa wa Kansa! Kwamba tiba pekee sio mionzi tu…

1. Kila binadamu ana seli za kansa mwilini na ili ziweze kuonekana kwenye vipimo na lazima ziwe zimezaliana kwa wingi. Ukipimwa na kukutwa huna kansa ni kwamba vijidudu havijazaliana hadi kufikia kiwango cha kusomeka katika vipimo.

2. Seli za kansa hujitokeza mara 6 hadi 10 katika naisha ya binadamu

3. Kama mtu hana upugufu wa kinga mwilini basi seli za Kansa hushambuliwa na kuzuiwa kuzaliana ili zisilete madhara mwilini

4. Ikigundulika kuwa mtu ana kansa ni kwamba mhusika hana baadhi ya virutubisho muhimu mwilini, na hali hii hutokana na sababu kadhaa kama, kuzaliwa nayo (kurithi), mazingira, aina ya vyakula tutumiavyo au mitindo fulani ya kimaisha

5. Ili kuzuia upugufu wa kinga mwilini ni muhimu kuwa tunabadilisha milo (aina za vyakula),pamoja na kutumia virutubisho kutaimarisha kinga mwilini.

6. Tiba ya Kuchoma mionzi huua ukuaji wa seli za kansa lakini wakati huohuo huua chembe nyekundu kwenye ute ute ulioko katika mifupa na hivyo kuweza kusababisha magonjwa kadhaa kama ya mapafu, ini, nyongo n.k

7. Wakati mionzi inaua seli za Kansa pia huunguza na kuharibu chembe chembe hai nyeupe za ulinzi wa mwili, tishu na viungo vingine muhimu mwilini

8. Matibabu ya mwanzo ya kutumia mionzi hupunguza ukuaji wa seli za Kansa ili zisilete madhara zaidi, ila matumizi ya mionzi mara kwa mara sio mazuri

9. Mwili ukishakua na sumu nyingi kutokana na mionzi, kinga ya mwili huwa imepunguzwa Kama si kuharibiwa kabisa na kusababisha madhara zaidi kwa mgonjwa

10. Tiba ya mionzi ikitumika mara kwa mara husababisha seli za kansa kuwa sugu na hivyo kuwa vigumu kuteketezwa na hivyo kusambaa sehemu nyingine mwilini

11. Njia bora ya kupambana na kansa ni kujitahidi kula vyakula ambavyo havisaidii kuongeza uzalianaji wa seli za kansa

**Seli za Kansa hustawishwa na**

a. Sukari. Yatupasa kupunguza matumizi ya sukari, tutumie bidhaa mbadala kama asali.

b. Maziwa husaidia seli za Kansa kukua

c. Seli za kansa hupendelea mazingira ya asidi hivyo nyama za ng’ombe pia Kitimoto ni changamoto bora kutumia samaki au kuku

d. Kwa asilimia 80 kinga ya mwili hujengwa na mboga za majani na juisi, nafaka, mbegu na karanga, korosho, matunda huusaidia mwili kuwa katika hali ya alkali hivyo seli za kansa hazifurukuti. Asilimia 20 ya vyakula inaweza kupatikana katika vyakula vya kupikwa yakiwemo maharage.

e. Jizuie matumizi ya kahawa, chai na chokoleti kwa kuwa zina kiwango kikubwa cha sumu iitwayo kafeini. Chai ya kijani (green tea) ni mbadala mzuri kwa kuwa ina virutubisho vya kupambana na Kansa

12. Protini ya nyama ni ngumu kufyonzwa mwilini hivyo mabaki yake mwilini hujenga mazingira ya seli za Kansa kujijenga

13. Ukuta wa seli za kansa umefunikwa na pritini ya ukweli, hivyo tukipunguza matumizi ya nyama tunazisaidia chembe hai za mwili kuziharibu seri za Kansa

14. Baadhi ya virutubisho husaidia sana kuongeza kinga mwilini

15. Kansa ni ugonjwa wa akili, mwili na roho. Hivyo juhudi za maksudi za kuwa na imani zaidi husaidia kuondoa hofu.

Hasira, kutosamehe na uchungu huufanya mwili uwe katika hali ya ASIDI ambayo husaidia seli za Kansa kujuinua. Jifunze kuwa na upendo na roho ya kusamehe. Jifunze kutulia na kufurahia maisha.

16. Seli za Kansa hazipendi mazingira yenye hewa safi na ya kutosha ya oxygen , hivyo mazoezi ni tiba pia.

Chanzo: Penny Tenga fb_img_1473857436412Halotel inajali sana wateja wake siyo tu kwa kuwapa mawasiliano ya gharama nafuu bali pia kulinda afya zenu! Hivyo inawakumbusha kujali afya zenu kwa kula vizuri ili tuwe pamoja kwa miaka mingi! ………Halotel has lifetime commitment to serve her customers!

Leave a Reply