Ushawahi kula hii?

screenshot_2016-12-08-11-54-46-1Uuuwiii!! Mabungo oooo! Udenda unanitoka kha! Je ushawahi kula hili tunda?! Mimi nina miaka mingi sana sijaona wala kula Mabungo ?? nilikuwa nayapenda mno enzi za primary school! Dah! Sijui yanapatika kona ipi ndani ya Dar! Nina hamu nayo sanaaaa!…….. Sina huwakika lakini sidhani kama Mabungo yanapatikana ndani ya mkoa wa Mara?! Sijawahi ona! Ni kama nazi ni zao ambalo halipo mkoani humo. Btw, hivi nazi ni tunda au mboga? ??  kuiliza si ujinga bali nikutaka jua ??

Leave a Reply