Vote! Vote! Vote!

fb_img_1475462976187Kiba atachuana na wasanii wengine wakiwemo Wizkid na Olamide wa Nigeria na Black Coffee na Cassper Nyovest wa Afrika Kusini huku mshindi katika hatua ya kwanza ataendelea kwenda kuwania kipengele cha Worldwide Act: Africa/India ambacho mwaka jana alishinda Diamond Platnumz.

Akiongea kwenye kipindi cha D’Wikend Chatshow cha Clouds TV, hitmaker huyo wa Salome amesema, “Nimesikia Alikiba amechaguliwa kwenye tuzo za MTV EMA. Tufute zile zama za kusema kwasababu wewe unam-support Diamond ndio huwezi kumpigia kura Alikiba. Akikosa tuzo hiyo haiji kabisa Tanzania na itaonekana watanzania wote tumeikosa. Kwahiyo tuhakikishe tuna VOTE ili tuirudishe tuzo hiyo nyumbani.”

Alikiba aliwahi kusema kama hivyo mwezi Juni, mwaka huu kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio alipowataka mashabiki wampigie kura Diamond kwenye tuzo za BET.screenshot_2016-10-02-16-34-01-1fb_img_1472436063790Wapendwa wasomaji wangu, naomba kwanza niseme kuwa mie haya mashindando huwa siyafatilii sana unless nimeona somewhere kwa Facebook ndio nayasoma. Basi sitaki kuonekana kama mjuaji zaidi ya kusema tafadhali pigia kura Watanzania wote walio chaguliwa kwenye haya mashindando ili ushindi urudi nyumbani! Naona kuna Vanessa Mdee, Raymond #SALOME etc…….. Please vote for all of them! Asante!

 

Leave a Reply