Category Archives: Matangazo

Golden BBQ point- nyote mnakaribishwa!

Tafadhali jumuika nasi kwenye ukurasa wetu wa Instagram na karibuni sana Golden BBQ point kwa BBQ zenye ladha na ubora wa kimataifa, vyakula vitamu vilivyo pikwa kwa umahiri mkubwa sana, mazingira mazuri na bora ya kula huku akili ikiwa imetulia, huduma nzuri sanaaaa, na gharama zake ni nzuri mno.
Private Barbeque service can be arranged. Tupigie tuje tukuchomee kwenye sherehe yako. Tupo Masaki, Bains Avenue, Off Mwaya Road, Msasani Peninsullar, Masaki, Dar es Salaam, Tanzania, nyote mnakaribishwa ??

Point of correction….!

RoryaPixelsPro, RoryaTv, RoryaFinestMedia ndio mambo yote!

The most precious jewels you’ll ever have around your neck are the arms of your children. Maggie Igogo Best Moments Captured By #RoryaPixelsPro.

We Decorate Your Memories! Book Your Session Today!!

#RoryaPixelsPro | #RoryaTv | #RoryaFinestMedia

Dina Marious: Nilipofikia sasa naweza Kufanya Official Launch ya product hii hapa Tanzania

Regrann from @dinamarious - Nilipopata mtoto Feb 2014 wakati nahangaika kutafuta mafuta mazuri ya mtoto nikashauriwa ya nazi. 

Nikazunguka kila kona nisiyaone ndio nikakata shauri la kutengeneza mwenyewe sababu najua kutengeneza. 

Lakini wakati natengeneza ndio likaja wazo la biashara nakumbuka kabisa nikishauriana na Da Husna mmiliki wa @zero2twelve maduka ya nguo za watoto akanishauri fanya.

Nilipoanza nakumbuka alikuwa mteja wangu wa kwanza alinunua carton 24

But ninachokumbuka nilipopata wazo sikulaza damu nikaanza mdogo mdogo kwa ugumu wake nikijaribu kujifunza na Mimi niwe na bidhaa yangu yenye jina langu.

Michakato ya kufungua kampuni Mimi ni mlipa kodi TRA kila mwezi sina malimbikizo ya madeni.

Kuyasajili TFDA yakaguliwe na kupata kibali yanafaa kwa watoto na watu wazima.

Kupata barcode pale GS1 ambapo Mimi ni mwanachama 

Na mambo mengi mengi.

Kwa sasa unaenda mwaka wa nne lakini ya milima na mabonde,kurudi nyuma kujifunza na kujipanga upya.

Kubwa nilichokuwa nataka ni kukuza Brand yangu ya mafuta ya nazi Dina Marios Baby Coconut Oil itambulike na iaminike sikuwaza pesa hata kidogo.

Nilipofikia sasa naweza Kufanya Official Launch ya product hii hapa Tanzania. - #regrann  

 Kwanza nianze kwa kusema hongera sana Dina Marious a.k.a Mama King Zion kwa  ubunifu na kuleta bidhaa bora! Natamani mama yetu Mh. Samia Suluhu ndio awe mgeni rasmi siku hii au baba yangu Dr Magufuli ili ajionee kuwa Wanawake tunaweza na azidi kutuunguka mkono kuwapa wanaume wengine motisha ya kuwanyanyua wanawake kwenda kwenye uchumi wa viwanda. 

Jamani mafuta haya ya Dina Marious coconut oil ndio mambo yote kwa ngozi nyororo yenye afya kwa mtoto wako. Ni mazuri sana sio tu kwa watoto hata watu wazima. Mimi niliyatumia sana nilipokuwa Bongo bahati mbaya sikubeba kuja nayo hivyo huku natumia Coconut oil ya Wamexico au Jamaica. Mimi natumia pure coconut oil wakati wote labda wakati wa baridi ndio natumia Nevea lotion kwasababu nataka kitu cha kuongeza joto. Nunua mafuta haya bila wasiwasi utunze ngozi ya mwanzo. Simmeona yamethibitishwa basi usiwe na hofu. Tumuunge mkono Mwanamke wa shoka halafu simnajua 10% inakwenda kwenye ile charity yake ya Dada Dina Marious kusaidia watoto, wamama, na watoto yatima. Tumuunge mkono, tujenge jamii zetu.

Mother’s Day 2018: Je, ungependa ku-share nasi hadithi / shukrani ya mama yako mpenzi?

Mother and daughter moment: Mother's Day inakuja ni jumapili ijayo, je umepanga kufanya nini au kumfanyia nini mama yako? Mimi binafsi nitakuwa Washington, DC niki enjoy kidogo na mama yangu! Kwani hii itakuwa Mother's Day ya kwanza kabisa kwa mama yangu kuwa hapa Marekani pamoja nami; hivyo nitaitumia nafasi hii vyema. Sasa basi tuambie kuhusu wewe. Je, ungependa kuShare nasi stori ya mama yako au kutoa shukrani zako kwa mama ukiambatanisha na picha ya mama yako? Basi wasiliana na alphaigogo.com kwa kutuma ujumbe kwa njia ya blog, Instagram DM, au Facebook nasi tutaweka ujumbe wako. 

**Zoezi hili linaanza rasmi leo hii mpaka JumaMosi.**
Asanteni 
Pichani ni mdogo wangu Janeth na binti yake Essy. #TBS 2017

 

Job opportunity!

Regrann from @j_n_mengi - Send us an email explaining 1.What makes YOU the best sales person ever! 2.Why you’d do well working on commission basis 3.Tell us everything you know about Molocaho brand and why you’d want to be a part of our team. Send the response to the above questions together with your CV to [email protected] - #regrann

Janeth Igogo: My Fellow TLS Members, I kindly request you to vote for my dear friends

 “My Fellow TLS Members, I kindly request you to vote for my dear friends, Aisha Sinda, Magdalena Sylister and Hussein Mtebwa for Governing Council positions to help us shape the future of our Law Society. Thank You ?”…… Janeth O.O. Igogo (Mrs)

Easter sale at Amorette

Regrann from @j_n_mengi – @molocaho_by_amorette is giving you a ONE DAY ONLY  Easter sale 20% off on everything bought on the 31st March. – #regrann

Wema Sepetu: Kama najiona meza ya mbele kabisa

Regrann from @wemasepetu - Kama najiona Meza ya mbele kabisa... sio kwa nilivyo wamiss jamani... A show not to miss... .
Miaka 14 hatujazisikia sauti pendwa ,Mziki mzuri, na burudani ya Baba na mwana 
Sasa kwa kulitambua Hilo Roof top entertainment na King solomoni wanakuletea *The Vikings*.. huku *mzee nguza* pale *Papi kocha* na ndugu zao *Barnaba*, *bushoke* wakiwa na *the Mafik Band* woooote hao katika stage Moja.. Usiku wa Tar 10/03/2018, *King solomon Namanga*.

VVIP table ni milion moja, VIP 50,000 na VIM ni 20,000tu.

Book mapema meza kupitia 0684083083 na 0677900731

Burudani Kali wa watu wakali Tanzania. Njoo burudike na *Baba akiwa na mwana*✨@papiikocha2 - #regrann

Haya wale wapendanao siku yenu itakuwa hivi…!

@Regranned from @jidejaydee – Tickets Zinapatikana |
Samaki Samaki zote |
Shear Illusion ~Mlimani City|
Jackies Bar ~Masaki |
Serena Hotel |
#ValentinesDayNaLadyJayDee
#AllAboutLove
#AllBlackEverything
#JideLove2018

Tangazo: Account yangu ya Instagram nimekuwa HACKED!

Samahani wapendwa, Instagram account yangu ile ya Alpha Igogo (siyo ya blog) imekuwa HACKED! It's seems huyu mtu wa kwenye picha ndio Ana access na account yangu! Tafadhali sihusiki na kitu chochote kitakacho kuwa posted kwenye hiyo account mpaka hapo nitakapo sema vinginevyo! Asanteni! My dear friends and family members, I'm sorry to let you know that my Private Instagram account has been HACKED! It seems like this person "CJ Alpha" on the picture is the one that has the controll of my account right now! As of today I am not responsible with anything that will be posted or any kind of communication using Alpha Igogo (Alpha) account until further notice! Thank you all! 

AFRIMA Awards 2017: Mpigie kura Nandy

Jinsi ya kumpigia kura: ingia kwenye Instagram page yake ?@officialnandy? kuna link kwenye biography yake. #Afrimaawards2017 fuata link shuka chini mpaka kwenye picha yake kuna sehemu imeandikwa #Vote ukibonyeza tu umesha vote #AsanteKwaSupport #TeamNandy #TheAfricanPrincess

Women In Business Program-Tanzania chapter. Call and get your direction to apply.

Imelda Mwamanga, Director of Dare to Dream

 Dare to dream and Women of Valour Foundations are introducing Women In Business Program Tanzania chapter. Call and get your direction to apply. It is a whole year program based on business incubation, mentorship, coaching and network connection. Call 0754844578

New job opportunity @Amorette!

“Interior Designer.Must have a design degree or diploma.Must be proficient in Autocad / Vectorworks. Must have excellent communication skills and be very creative.Email your CV to [email protected]”~~~~ Amorette management

Sale ya nguvu @Molocaho furniture by Amorette, kuanzia Sept. 1-8!

Haya sale ya nguvu kwa wale wanaopenda vitu vizuri vya kupendezasha nyumba na vyumba vya kulala! Nikutoka kwa Molocaho furniture by Amorette! Sale inaanza kesho asubuhi September Mosi (Sept.1st) masaa ya Africa Mashariki na kumalizika September 8th. Wahi kesho ujipatie furniture zenye ubora wa kimataifa kwa bei karibu na bure! Halafu siunajua asilimia fulani ya mauzo inakwenda kwenye ule mfuko wa kusaidia jamii wa Dr.Ntuyabaliwe Foundation! Basi nenda kaunge mkono tusaidie jamii yetu!

Road To Heaven Sent premiere: zimebaki siku 3, jiunge na WemaApp kuiona!

Nilipoanza na 10 days wallahy sikujua kama zitaenda fast kiasi hichi… Zimebaki 3 days yaani in other words tuna masaa 72 tu yamebaki… Wow…!!! Wow…!!! Wow…!!! Najua kuna walio mbali na wanajiuliza watapataje pataje kuona hii Kazi ya mikono yangu… Jibu kamili ni WemaApp tu… Will make sure unafanikiwa kujionea kazi hii kiganjani mwako… Ama nene… Lakini Pia, pale Mlimani City Tunaenda kwa Slogan moja tu ambayo ni, “Are you invited..???” Kama hutopata chance siku hio basi kutakuwa na After party …. Details zote ntawaletea Baadae…. ??? #RoadToHeavensentPremiere

Jubilee ya miaka 25 ya Kowak Girls Secondary school. August 26th, 2017!

Haya wana Kowak Girls Secondary school mpo!! Nimetumiwa ujumbe huu na Mkuu wa shule  (soma ?) kuhusu Jubilee ya miaka 25 ya Kowak Girls, itakayofanyika tarehe August 26th, 2017. Tafadhali ukipata ujumbe huu mjulishe na mwenzako ili kuwezesha sherehe hii kufanikiwa........... Hongera sana Kowak Girls Secondary  walimu, wahitimu, na wanafunzi wote! ?
Soma ? (AboutKowakGirlsSec)

New job opportunities in Tanzania

It's always business on this side as you know that; The Kikwetes' do POLITICS . The Igogos' do BUSINESS! ?? ......And here is new job opportunities from Utel Global! The CEO's of Viettel Tanzania Company Limited (Mr. Tho Han Dai) and Utel Global Company Limited  (Mr. Otieno Igogo) signed a contract for appointing the later as their Subscribers Data Verification Centre, to employ 100 data entry experts as from today (East Africa time)........... Congratulations Sir O.O Igogo! From cattle rustler (ALongWalk) to creating multiple job opportunities to your fellow Tanzanians! ?? God keep blessing you .............Get your CV ready if you're interested! 

Husikose The MboniShow kesho, Ijumaa!

"Alikuwa mtangazaji wa zamani wa Radio One hapa Tanzania lakini kwasasa ni Mtangazaji wa VOICE OF AMERICA (VOA) Nchini Marekani.. Thembonishow inakuleta karibu na ndugu na jamaa waishio nchini Marekani #HII NDIO THE MBONI SHOW usikose kuangalia show ijumaa saa moja kamili jioni."

Usikose The MboniShow kesho!

Alikuwa mtangazaji wa zamani wa Radio One hapa Tanzania lakini kwasasa ni Mtangazaji wa VOICE OF AMERICA (VOA) Nchini Marekani.. Thembonishow inakuleta karibu na ndugu na jamaa waishio nchini Marekani #HII NDIO THE MBONI SHOW usikose kuangalia show ijumaa saa moja kamili jioni."