Wema Sepetu: Kama najiona meza ya mbele kabisa

Regrann from @wemasepetu - Kama najiona Meza ya mbele kabisa... sio kwa nilivyo wamiss jamani... A show not to miss... .
Miaka 14 hatujazisikia sauti pendwa ,Mziki mzuri, na burudani ya Baba na mwana 
Sasa kwa kulitambua Hilo Roof top entertainment na King solomoni wanakuletea *The Vikings*.. huku *mzee nguza* pale *Papi kocha* na ndugu zao *Barnaba*, *bushoke* wakiwa na *the Mafik Band* woooote hao katika stage Moja.. Usiku wa Tar 10/03/2018, *King solomon Namanga*.

VVIP table ni milion moja, VIP 50,000 na VIM ni 20,000tu.

Book mapema meza kupitia 0684083083 na 0677900731

Burudani Kali wa watu wakali Tanzania. Njoo burudike na *Baba akiwa na mwana*✨@papiikocha2 - #regrann

Leave a Reply