Walijua hili?

Najua wengi ambao wanaishi katika inchi ambazo zimeendela wame punguza sana matumizi ya Cds au Dvds, lakini haimaanishi hawana. Vile vile watu wengi walipo nyumbani (Tanzania) bado wanatiziumia sana Cds na Dvds katika shughuli mbali mbali za ku record na kuhifadhi nyaraka mbali mbali haswa wanamuziki na wanafunzi wa secondary.

Sasa basi, si wanasema kizuri kula na mwenzio lol! Unajua jinsi ya kuondoa mikwaruzo kwenye Cd au Dvd yako kirahisi kabisa?

Mahitaji:

high-res-scratched-cd-textures-screenshots-2

banana-fb

glassMie nimejifunza hii juzi katika kipindi cha talk show ya “The Real” kilichopo kwenye hii inchi ninayo ishi; kuwa kama Cd au Dvd yako imekwaruzika unaweza irudisha katika hali yake ya mwanzo kabisa kwa kutumia ganda fresh la ndizi (ndizi iliyo iva) ukasugulia kwenye Cd au Dvd kama kwa dakika moja hivi. Kisha ukimaliza safisha na glass clearner basi na mikwaruzo yote itatoka kabisa.

3 thoughts on “Walijua hili?”

  1. Alpha, are you serious? Naona kama it’s too simple to believe it! Asante kwa kutushirikisha itatusaidia.

    1. Hi, naona kunamsomaji wetu mmoja ambaye amejaribu na amesema ni kweli inatoa. Tena yeye amesema amejaribu kwa kutumia Window cleaner peke yake na Cd yake imeacha kukwaruza kabisa.

      Thanks.

Leave a Reply