“Wimbo gani wa Bongo uliowahi kufanywa zamani na kurudiwa na msanii mwingine umefanya vizuri zaidi?”- EATV

screenshot_2016-10-22-15-47-39-1Najua kuna tribute  za nyimbo za zamani nyingi  zimefanyika, lakini hizo hapo chini ? ndio nazipenda zaidi! Hata hivyo Salome ya Diamond naweza sema ndio umeweza kufanya vizuri zaidi ya yote. Hii inatokana na technology ya mitandao pampja na ubunifu wa aina ya uchezaji pamoja na mavazi. Vile vile muamko wa Watanzania kupenda nyimbo za nyumbani kumechangia

1. KARUBANDIKA by Mtoto wa Dandu

2. SIWEMA by Lady Jay Dee

3. SALOME by Diamond ft Rayvanny

4.  ‘SHOGA’by Fina Mango

5. MUHOGO WA JANG’OMBE by Lady Jay Dee

6. KIZAI ZAI by Linah Sanga

: Natamani Fina Mango atengeneze tena remix (tribute) ya wimbo mwingine. Ana sauti nzuri sana. 

 

Leave a Reply