Zari please just give-up the fight!!

Baba yake Diamond akimfurahia mjukuu wake sambamba na Hamisa mama wa mtoto

Zari my dear, I can only image what you’re going through right now as I’ve never been in your shoes and I will never wish to wear them even for a minute!! But the only thing I know for sure is that, this family including Diamond doesn’t deserve you!! Zari just give up the fight and concentrate on the wellbeing of your children!! ………Sikiliza Zari this picture na nyingine nyingi ambazo familia ya Diamond wamepiga na Hamisa speaks volumes!! Hamisa is not a sidechick or just a babymama Hamisa ni mke mwenzio my darling!! Huo ndio ukweli!! Sasa uwamuzi ni wako kuwa kukubali ukweli kuwa mpo wawili au achana na Diamond uendelee na maisha yako but you can not fight Hamisa!! Mtoto kapewa jina la baba yake Nasib na wazazi wote wapo Tanzania? ┬áZari you can’t fight this!! Yani hata hizo picha watakazopiga wakati wa parenting time hata kama Hamisa hato kuwepo lazima zitakukera!!

Mimi ningekuwa wewe ningetafuta njia ya co-parenting na Diamond kama ulivyofanya na marehemu Ivan Ssemwanga!! Ningetoka kabisa kwenye social media for now na kuishi a very low key profile life. Yani concentrate na mambo yako na watoto zako basi! Achana na marafiki just your family members only!! Once ukiona uko powa then come back kwenye social media life again! For now ungeacha kwanza ………..Hachana na hii family as I said before they don’t deserve you!! Fikiria jinsi Diamond alivyokuwa anachekwa kuwa “HAZAI” magazeti yote yakamwandika jinsi his girlfriends wanasema hazai!! At your age you took the fall, with all the risks na kumzalia sio mtoto bali watoto and look how they repay you!! Achilia mbali jinsi ulivyo muonyesha njia ya kuweza kufanikiwa kimaisha hayo yote hawakujali ndio kwanza anamleta mwanamke kwenye kitanda anacho lala na wewe?!! This makes me sick whenever I think about it!!……..Unajua kuzaa na mwanamke mwingine unaweza piga moyo konde ukasamehe, lakini the fact kuwa this happened in your bedroom in the same bed you sleep with him!! That’s something else woman!! Mtu akudharau lakini si kwa kiwango hichi jamani!! Hamisa yupo comfortable in your bedroom utafikiri pale ni chumbani kwake??!! O’Lord of mercy!! Then mama mtu yupo sawa kabisa na mambo haya yote tena yanatendeka mbele yake!! Nimemshusha heshima huyu mama!! Something is wrong somewhere!! The whole management knew about it and no one said anything to you? Isn’t this how Michael Jackson died? People are selfish!! …………But in the end this is your life, you decide what’s best for you. I will surely respect your decision!! Just remember you once said you left Ivan Ssemwanga because you didn’t want your boys to think was OK to mistreat woman!! Think deep you got your daughter now, think deep!!……Pole sana!!

Leave a Reply