Ziwa Rukwa linaangamia!

Hili kwakweli linasikitisha sana tena sana! Hapa wakulaumiwa ni wote viongozi waliopewa dhamana ya kuongoza na kulinda mali asili za nchi pamoja na wakazi wa eneo hili!!……Viongozi hawa walikuwa wapi miaka yote?  Mkuu wa mkoa wa miaka iliyopita na viongozi wa halmashauri ya eneo hilo nafikiri wanastahili kufunguliwa kesi! Hili halikubliki hata kidogo jamani! ……Pia wakazi wa eneo hili nao ni wakulaumiwa kwani jukumu la kulinda mali asili, mazingira, na usalama wa nchi yako haswa eneo ukaalo ni wajibu wa kila raia. Swala la UZALENDO kwa Watanzania walio wengi ni tatizo kubwa sana!! ……..Mungu atusaidie ??

Leave a Reply