Hongera Millen Magese

FB_IMG_1433089819632Naomba nichukuwe fursa hii kumpongeza mrembo, mwanamitindo wa kimataifa , na Miss Tanzania 2001-Millen Magese (mwanzo alijulikana kama Happiness Magese) kwa kutununikiwa tunzo ya “Global Good Award” na kituo cha television cha BET (Black Entertainment Television) cha Marekani.

28412_387312786985_591511985_4463172_5687224_nTuzo za BET ni moja ya tuzo kubwa sana duniani, najambo la kujivunia sana kama Watanzania ni kutokana na ukweli wa kwamba kipengele cha Global Good Award ni kipengele kipya kabisa ambacho kimeanzishwa na kituo hicho mwaka huu 2015 na Millen Magese amekuwa mtu wakwanza kutunukiwa tuzo hiyo!

FB_IMG_1433309087240Millen Magese ametukiwa tuzo hiyo kutokana na kuwa mmoja wa wanaharakati duniani watokao bara la Africa ambao wanapigania awareness na kinga ya ugonjwa ujulikanao kama ‘Endometriosis.’ Kwakweli mie siyo mtaalamu sana wa maswala haya ila nakuhaidi kumtafuta ntu ambaye ataweza kutufafanulia kwa kina kuhusu ugonjwa huu.Millen ameungelea kwa kadri awezavyo jinsi anavyoteseka, na matumaini yake ya kupata mtoto yalivyo shuka kabisa kwenye interview aliyofanya na Sporah Show (tazama video hapa chini).

Nimesoma kutoka katika mtandao wa Endometriosis Association kuwa ugonjwa huu unatesa mamilioni ya wanawake duniani na wengi wao huwa wanaishia kutokuwa na uwezo wa kupata watoto kama hawata pata matibabu mapema. Pole sana Millen.

Mmoja wa marafiki zake ambaye pia ni shabiki wake mkubwa aitwae Loveness Hoyange alimpongeza Millen kwa maneno haya  “Africa please help me to congratulate our very own former Miss Tanzania, International model, The statute of Tanzania, Icon of the nation and humanitarian Millen Happiness Magese who has been honored and nominated to receive BET Global good award 2015 for her incredible work in educating and empowering women about Endometriosis. This is a new category at the BET awards this year and Millen will be the very first person globally to receive it. What an honor to Tanzania and the entire African continent! Millen has been the symbol of hope and courage to many women across the continent through her Endometriosis work. Millen you humbled yourself and today GOD has lifted you up. When we mocked your efforts in educating women about endo you called us sisters. You loved Tanzania even when we gave you a reason to hate us. You have a heart of GOLD and today God has decided to make your name shine among nations. Congratulations my love I am super proud of you”

Kwa mara nyingine napenda kusema pole sana kwa mauumivu unayopitia, na pia hongera sana kwa tuzo uliyopata kwani unastahili.

Leave a Reply