Kutoka Facebook

FB_IMG_1433284639517Nimependa sana hii picha ya hawa public figures! Hapa walikuwa huko Mwitongo, Butiama, Mara ambapo Muheshimiwa Makongoro Nyerere a.k.a Mako alikuwa amekwenda kutangaza nia ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM. Muheshimiwa Shy-Rose Bhanji pamoja na mwanamuziki Lady Jaydee walikuwa miongoni mwa watu waliokwenda kumpa support. Kila la kheri Muheshimiwa Makongoro!

Leave a Reply