#Walk Away!

fb_img_1461523437313fb_img_1476065016777Yap! Unajua kila kizuri hakikosi kasoro zake. Kwa mfano hizi social media ni nzuri inatukutanisha na ndugu zetu wambali, rafiki zetu wa miaka mingi, watu wanafanya biashara humo, injili ya Mungu inahubiriwa humo kama juzi nilifurahiya kushiriki injili iliyo hubiriwa na Masanja Mkandamizaji #Usiruke number!……Lakini shetani naye yupo vitani 24/7 hivyo hutumia hizo hizo social media kufanya kazi yake. Usishangae sana kuona watu wengine constantly wana andika vitu hasi kwenye status zao. Yani jua hao watu wana mapepo ambayo furaha yao ni kugombanisha watu, kukwaza watu kwa namna moja au nyingine halafu watajifanya “my posts have nothing to do with anyone”!! Crazy! If you are around people should someone be kind enough to care?! Ngoja nikwambie; binadamu mwenye UTU na UTASHI WA MUNGU siku zote yupo makini na maneno yake, maongezi yake, na matendo yake kwa wengine!……… Mpendwa msomaji wangu, kaa mbali na watu wa namna hii kwani wanatumika na shetani! Mimi siku hizi nikiona mtu kila kukicha status zake zimejaa negative stuff huwa na mu-Unfriend huyo mtu haraka sana au na ku-block kabisa. Sijali hata kama ni ndugu yangu! I don’t need to read negative things from  anyone. I want to be around positive people…….Let have fun, inspire one another, cheer up one another. If you can’t do any of that then pray for me and keep your negativity to yourself! #Walk Away People!

Leave a Reply