Yes! You go Zari, we’re very proud of you!

Regrann from @zarithebosslady –

Wapendwa wangu Sina cha Kuwalipa Zaidi ya kusema ASANTENI sana kwa 4M followers.
Ninyi Ni Ma Ndugu kwangu, Mmekua Nami Bega Kwa Bega Kwenye Shida na Raha. Sasa Mnichiangieni $1 kila mtu tujenge clinic ya wanawake sehemu yoyote dar, Najua tukiipata Baba Magufuli atatupa kiwanja....😁😁 #JustSaying
PENDA SANA NYINYI.❀
THANK YOU SO MUCH FOR 4M. 
LOVE YOU ALL🌹 - #regrann

Yes! That's my lady! Let support our Bosslady, the real Major General! Mimi naanza kwa dola kumi ($10 ), haya baba yangu Dr John Pombe Magufuli tunaomba kiwanja hicho tena kiwe kule maeneo ya Kigamboni, au Kibada, au Mbagala 😍😍 somewhere in Temeke District au Kigamboni please. Zari fungua hizo account watu waanze kumimina hizo pesa please! This is great! And we will call it Zarina Hassan Women Clinic πŸ˜πŸ˜πŸ’ƒπŸ’ƒ Jamani ni dola moja tu ($1) kwa kila mtu hatushindwi! Ila unaruhusiwa kuchangia zaidi ya hapo! Okowa maisha ya mwanamke uokoe jamii!! Mungu atubariki wote πŸ™

Leave a Reply