My 2017 best love drama: Ndoa ya Zamaradi Mketema

    Kama kuna drama ya mapenzi ambayo ilishangaza wengi na watu wengi wakaguswa nayo ni break-up ya Zamaradi Mketema ma Ruge Mutahaba!! Siyo kitu rahisi kuachana na such a powerful figure like Ruge Mutahaba. Lakini jinsi Zamaradi alivyo ikabili (handled) swala zima its just amazing! She handled it like a real woman ambayo imemfanya siyo tu kupata heshima zaidi ndani ya Tanzania bali amekuwa mwanamke shujaa na mfano wa kuigwa kwa wasichana wote! Mwanamke kama Zamaradi anaweza akasimama kishujaa kabisa mbele ya watoto wakike na kuwafundiaha kuhusu maadili, jinsi ya kukataa na kuachana na unyanyasaji wa aina yoyote ile, kukataa mwanaume kukudhalilisha na watoto wakike wakatii kwani yeye mwenyewe ameonyesha mfano hai! Big up to Zamaradi! You have earned more respect from me, hivyo napenda kusema kuwa hii imekuwa my  2017 best love drama!

Kusoma post zilizopita bonyeza ??

HongeraZamaradi

MzeeWaFursaAgeukaKuwaFursa

MissionTown

ShemejiYetu

Leave a Reply