My 2017 best baby of the year: Mtoto wa Hamisa Mobetto

 

Huyu mtoto alisimamisha dunia ati!! Nani atasahau jinsi mamilioni ya watu around the globe walikaa chini kusikiliza interview ya Diamond na Clouds fm ili kutaka kujua mimba ilitungwa lini na kama kweli Diamond ndio baba halisi na halali wa Prince Dylan ??? Yap! Kuna baba wengine ni baba "halisi" lakini siyo "halali"!! Hiyo will be another topic next year ??   

 Kwakweli mimi siyo shabiki wa Hamisa, sipendi wanawake with such character! You can judge me but that is my opinion na hii ni blog yangu ?? Hata hivyo kwenye ukweli lazima tuseme kuwa mtoto wa Hamisa Mobetto kaweka history ndani na nje ya Tanzania! Na kwamaana hiyo  alphaigogo.com inamtunuku kuwa the best baby of the year 2017! 

Kusoma post zilizopita bonyeza ??

HongeraDiamond

ZariGiveUpTheFight

Leave a Reply