A word of wisdom

FB_IMG_1453959427549

Huwezi kumzuia ADUI…….

kukutisha, kujitapa, kukukejeli na kukudhihaki, kujiona yeye ndio bora kuliko wewe………kubwa Simama kwenye nafasi yako. Ukikaa kwenye nafasi yako wote waliokukataa, waliokususa, waliokudhihaki, waliokutusi na waliokuona si lolote si chochote ipo siku watakuunga mkono. Waliokuona hufai kuwa kwenye maisha yao…………………..hao hao watasimulia mambo makuu kuhusu wewe, watakutamani na watakuheshimu. Hata wasipokiri kwa vinywa vyao mioyo yao itakiri na kuthibitisha wewe sio wa kawaida. Kumbuka Ulivyo leo sivyo utakavyokuwa kesho. Nakukumbusha tena Kaa kwenye nafasi yako, ndani yako unayo mambo makubwa ambayo bado hujafanya hata Robo.

FB_IMG_1453959328000

Wewe sio wa kawaida…….mtag na umwambie na mshikaji/shost wako wewe sio wa kawaida…Usilale wewe ndio kwanza kumekucha. Simama kwenye nafasi yako. Je nafasi yako unaijua?????

One thought on “A word of wisdom”

Leave a Reply