Afya ya meno: Dr. Talib Ali wa Avatar Dental Care

Dr. Talib Ali ameshauri  kutumia Sensodyne kuwa ndiyo dawa bora. Jamani hata mie nashuhudia hiyo ndiyo dawa pekee ambayo mie natumiaga. Nilishauriwa nilipo kuwa Bongo miaka mingi sana pale Muhimbili kwasababu dawa zingine zinaniumiza sana meno yangu. Nashukuru Mungu imenisaidia sana na siwezi tumia dawa nyingine!

Maji ya bomba mie yamenishinda  jamani, radha yake ni shidaaa! Lakini kumbe ndiyo mazuri………….interview nzuri sana, chukua muda wako kuangalia wala huta juta!

Leave a Reply