Hot shot of the day

2015-08-06 00.37.33The Gachumas’! Sister-sister! Beautiful Eddah Mwita Gachuma (left) owner of Eddah Elegant Catering with her cute elder sister Gatty Mwita Gachuma. 11011647_447447595430980_4563369154803386768_nSister Eddah ni mpishi mmoja mzuri sanaaaa yani anatingisha jiji la Maryland au niseme DMV yote! Ndo hapo ujiulize Mkurya kajifunzia wapi kupika 🙂 🙂  Yani vyakula vyake ni vitamu vyenye ubora wa kimataifa, halafu sasa anajua ku-present her food! Jinsi anavyo kipamba na usafi wa hali ya juu utapenda mwenyewe! Wamarekani wanaweka order za kupikiwa kwenye events zao kubwa kubwa, anapikia ubalozi, na international organizations zingine zikiwa na function.

Jinsi anavyo vuma ilibidi nimtafute nikafanya mahojiano naye ilikujua alijifunzia wapi, na nini future ya Eddah Elegant Catering. Siku yakiwa teyari nita-share nanyi humu. Ila inabidi mnivumilie kwani Editor kabanwa sana na ukiongeza na maringo ya Kihaya inabidi niwe mpole mwenyewe 🙂 🙂 🙂 msihofu, vitu vizuri havihitaji haraka!

Kuona sample ya vitu anavyo fanya ingia hapa

Da Eddah vyakula vyako nitakula sana tuu kwani ni vitamu mmno ila gari lako sipandi ng’o! Kufa sijafa lakini chamoto nilikiona 🙂 🙂 🙂 🙂

 

 

Leave a Reply