Best Wishes to Ezekiel Kachare

FB_IMG_1437324094106Kwakweli ngoja tuu niwe mkweli as I always do 😁 ni muda toka nimeona hili tangazo la ndugu yangu (long time neighbor), childhood friend, and primary school classmate lakini nilishindwa kuliweka humu. Sababu haswa sipendi kujihusisha kwa undani na maswala ya siasa za Bongo kwasababu watanzania walio wengi wanafikiria siasa ni chuki. Hivyo kuepusha magroup yasioyo kuwa na ulazima niliamua kutoweka post za siasa kwa sasa. Ila basi inaponibidi kama hivi nitakuwa na post kuwapongeza au kuwatakia kila la kheri katika safari zao. Mara nyingi huwa naongelea siasa kwenye Facebook au nje ya mitandao ya kijamii na sihumu kwa blog.

Basi hivyo,  napenda kwanza kusema hongera kwa kudhubutu, na pia nakutakia kila la kheri katika safari yako. I hope Chadema watakusimamisha.

Leave a Reply