Category Archives: Father’s Day celebration

Happy Father’s Day King Kiba!

Wow! Wamenoga eeh! Happy Father’s Day the real King,  Mfalme Ali Kiba! Mungu akujalie busara na hekima nyingi ya jinsi ya kuwa baba bora na mwema. Akutunzie wanao, wakuwe kwa kimo na hekima. Ubarikiwe sana. Watoto wako wazurije sasa! ? ? Happy Father’s Day King!

Monalisa kaua, kamaliza kabisa!

  Regrann from @monalisatz - Happy fathers day kwa mibaba yote iliyotelekeza wanawake wajawazito,wakatelekeza na watoto wao au kuwakana kabisa watoto wao kwa sababu wanazozijua wao,siku ya Leo iwakumbushe kwamba wao ni viumbe wajinga kuliko yeyote yule kwenye dunia hii Hata yule Nguruwe aliyetabiri Nigeria kufika nusu fainali za World Cup ana akili kuliko wao.Siku ya Leo kila watakachokula wakaharishe mfyuuu.Watakachoongea wawe wanakohoa kohoa tu ovyo wajinga kabisa nyie...hamuoni haya siku ya Leo wababa wenzenu wako so proud na watoto wao,nyie mmetumbua mimacho tu na wengine MNA vitambi kama wajawazito. Haya Happy father's day kwenu wehu nyie - #regrann

Faraja Nyalandu: Nikifeli au nikiharibu shuleni hakuongea na mimi kwa ukali, aliongea na mimi kwa uchungu

Regrann from @farajanyalandu - Baba yangu alikuwa ni rafiki yangu. Mimi ni wale wanaoitwa daddy's girl. Ukilelewa huku una dhana ya kupenda na kupendwa inakujengea imani na ujasiri kwasababu unakua ukijua unastahili kutoa na kupokea. Una thamani. Unastahili. Nikifeli au nikiharibu shuleni hakuongea na mimi kwa ukali, aliongea na mimi kwa uchungu. Ilikuwa ni balance nzuri kwasababu nikikosea mama yangu aliongea kwa ukali. Kuna siku nilimpa report ya shule, baada ya kuizingatia kwa muda akisikitika, akaniambia anaomba report yangu. Kimoyo moyo nikasema uzee unamjia vibaya, ananiombaje report yangu wakati kaishika mkononi. Akaniambia anajua uwezo nilionao na ile report mbaya haiwezi kuwa yangu. Ni ule uchungu ulioniuma na kunifanya nisitake kumuumiza tena baba yangu. Hakuwahi kunichapa. Lakini nimekula sana vibao na mwiko wa kupikia kwa mama. Hofu pia ilinirudisha kwenye mstari. Nilitambua nikipewa haki inakuja na wajibu ninaotarajiwa kutimiza. Alinijengea nafasi ya kumwambia kila kitu, kizuri na kibaya. Na yeye aliniambia vingi, alivyokosea na alivyopatia, alivyoona vikipatiwa na kukosewa. Aliniambia yeye si mkamilifu na wala mimi si mkamilifu lakini natosha. Katika vyote alivyonipa, namshukuru kwa kuniwezesha kujiamini, kujitambua na kutaka kuwa bora. Hivi vitu haviuzwi dukani. Sina hakika kuna shule itavifundisha ipasavyo. Pengine hizi #weekendwisdom ni matokeo ya uhusiano wetu. Mwambie binti yako anatosha, jenga msingi imara asitokee mtu mwingine kumuaminisha vinginevyo. 

Happy Father's Day Fathers! - #regrann

Happy Father’s Day to this great father and grandfather to our children!

  Hatuna la kusema zaidi ya Asante kwako na asante kwa Mungu Baba aliyekuchagua wewe kuwa baba yetu na babu wa watoto zetu! Unaweza usionekana kama baba bora mbele ya macho ya watu wengine, hiyo ni sawa tu kwani hata aliyekuumba anajua hakuna aliyekamilika lakini siku zote fahamu ukamili kwetu sisi watoto zako na wajukuu zako! God created you perfect for us! Thus why you are our father not theirs!  For that we are greatly appreciate and love you..... Happy Father's Day my baba! ❤ 

Happy Father’s Day baba Cookie!

Regrann from @auntyezekiel - Kabla ya kufanya Maamuzi ya kuwa na Mtoto niliwaza sana Mwanaume wa kuzaa nae Mana nilikuwa na hofu na kuogopa hasa ukiona Mababa au malalamiko ya wamama wakilalamika wanayofanyiwa na wababa sikuogopa kukosa matumizi Hapana sikuogopa kukosa kusomeshewa mtoto hapa mana yote hayo niliamini naweza kupambana na nikayamudu....Nilichoogopa kupata baba asiyejua Umuhimu au majukumu yake kwa mtoto huyo na hata akakosa Upendo na Muda na Mtoto tutakayekuwa nae .... Hakuna kitu Nafurahi kama kuona Mwanangu akipata Upendo kutoka sehemu anayopenda Nashukuru Mungu alinipa Ww kama Baba wa Mtoto wang Mana umekuwa na Mapenzi ndani ya Familia hii na Mtoto wako zaidi ya yale niliyoyawaza jua hiyo ni bahati tuu hiyo ndio Maana ya Baba bora na Sio bora Baba Siwezi kumaliza bwana .....HAPPY FATHER'S DAY BABA COOKIE WW NI BABA BORA .....@moseiyobo - #regrann

Happy Father’s Day the Bosslady and all single Mothers out there!

Regrann from @zarithebosslady – Happy father’s day to me, the late Don and all the women playing both roles. We are the real MVPs….. gone but you still here for us in all possible ways. We miss you! – #regrann

 May I extend my sincere wishes to all single mothers around the world, Happy Father’s Day to you single mothers!  Have been there, done it! #SingleMom So I truly understand what Zari is saying.  Some people love to be called “Father” but have no clue what it takes to raise a child! One needs to nurture that child to grow spiritually, emotionally, physically, and financially! 100% provider, 100% supporter, 100% gurdian, 100% protector of  your children if you want to be called Father!! When you plant a seed somewhere you need to take care of  it to grow, you need to nurture it! Sio unapandikiza mbegu halafu unakuja kuitizama baada ya miezi mitano, kwani nani ni “shamba boy” wako umemuacha akutunzie???!  These are human being need their father to father them!! Children are not toys don’t use them for show-off !! Happy Father’s Day to all single mothers and all single Fathers in this world! You rock!

Happy Father’s Day to you great father out there!

Happy Father's Day to all great fathers out there who've been taking their responsibilities with a sense of pride and warm smile! God bless you abundantly! For those who are longing to be called "papa" just keep on praying your time is so never,  our God is faithful, full of mercy and grace, He always answer  prayers beyond our imaginations!Nawatakieni furaha na baraka ya siku ya wakina baba duniani kote kwa wababa wote wanaotimiza majukumu yao kwa furaha na ufahari mkubwa bila "kushurutishwa" na RC Paul Makonda! Kwa wale ambao wanatamani kuitwa baba lakini bado  hamu hiyo Mungu ajakutolea basi wewe endelea kuomba bila kukata tamaa zamu yako inakuja kwani Mungu wetu ni muaminifu, mwenye wingi wa rehema na neema hujibu maombi azidi ya tuombavyo!

Happy Father’s Day to you all ❤