
HOTUBA YA BALOZI JUMA MWAPACHU KUTANGAZA KUREJEA CCM MIKOCHENI 16/03/2016
Ndugu zangu,
Mtakumbuka kwamba mnamo tarehe 13 Oktoba 2015, nilitangaza kuihama CCM na kurejesha kadi yangu ya uanachama kwenye ofisi ya CCM Kata ya Mikocheni. Nilitoa maelezo kwanini niliamua kujiondoa CCM (maelezo hayo pia niliyabandika katika ukurasa wangu wa facebook). Nilieleza kwamba CCM imepoteza mwelekeo kwa kuamua kumnyima haki ya kugombea mcha mungu Edwad Lowasa. Nikasema Edwad Lowasa ndiye chaguo la wana-CCM na ndiye chaguo la Watanzania. Nikasema nitakuwa mnafiki nikiendelea kubaki CCM huku naamini Edwad Lowasa anafaa kuwa Rais kuliko John Pombe Magufuli.
Baada ya miezi miwili ya uongozi wa Magufuli nataka niseme nilikosea sana. Nililewa mahaba ya Lowasa, nililewa ahadi ya Lowasa kunipa uwaziri wa mambo ya Nje. Niliamini mafuriko ya Lowasa ambayo yakanifanya niamini kabisa anachukua nchi. Tulikubaliana na wenzangu kwamba wiki mbili za mwisho tuihame CCM kwa wimbi kubwa ili kuitikisa na kuitoa madarakani. Lakini baadhi wakaogopa na hadi sasa wengine wamebaki CCM na wana vyeo.
Leo natangaza kurudi CCM kwasababu nimeona kazi nzuri ya Magufuli. Nimefanya kosa kubwa katika siasa ambalo nawasihi vijana kwenye siasa wasifanye. Nilihama kwa kwasababu ya mtu (Lowassa). Nimerudi kwasababu ya mtu (Magufuli). Nataka niwaahidi kwamba CCM ikiweka mtu hovyo baada ya Magufuli, sitahama. Usemi wa CCM kwamba Chama Kwanza, Mtu Baadaye sasa ndio nauona maana yake. Niliwalaumu CCM kwa kumuacha Lowassa lakini sikujua kwamba CCM ina uwezo wa miujiza wa kuibua jembe bora linaloitwa Magufuli.
Naomba mnisamehe kwa kulifanya jambo langu la kujitoa CCM na kurudi CCM kuwa jambo la kitaifa ukizingatia kwamba sikuwa na nafasi yoyote ya uongozi wa CCM wakati nahama na pia sijawahi kuwa hata Mjumbe wa NEC ya CCM na nilikuwa nje ya ulingo wa siasa za CCM kwa miaka 20. Niliamua kulifanya jambo kubwa ili kumsaidia Lowassa. Na sasa nimeamua kulifanya jambo kubwa ili Magufuli ajue sasa niko naye kwasababu sitaki shughuli zangu na za washirika wangu zikwamishwe na Serikali kwasababu tu huko nyuma niliamua kumsaidia swahiba wangu.
Naomba radhi kwa familia ya baba wa taifa mwalim Nyerere kwa kuitumia kisiasa siku aliyokufa (tar 14 Octoba) na kutumia msiba wake kutoa kauli za kisiasa zidi ya chama chake alichokiunda na ambacho hadi anakufa alikuwa mwanachama.
Wananchi wote tumuombee Magufuli na tumsaidie kwani tumepata nyerere mpya.
Mungu Ibariki Tanzania.Mungu Ibariki Afrika
Balozi Juma Mwapachu

Gorgeous! Hawa Gwao former Miss Tanzania-UK. Kapendeza sanaaaaaa!…… Happy birthday girl, me love you mingi ???
Ha! Ha! Ha! Nafikiri Akothee na mimi “mapepo” yetu yanaendana ??? yani mimi sipendi mtu wa kuvuta nywele zangu au kubana kichwa changu na vilemba. Naweza zimia aisee!! Ukiona nimefungua kilemba jua ni mapozi tuu ya picha ?? Rasta za wamasai niliwahi suka mara moja tuu tena kwa shinda kweli kweli. Siwezi kaa chini kabisa ??………
Awii! The Lyimos family looking great, of course as usual!! Hapa walikuwa wameenda shuleni kwa watoto wao (Holy Rosary Elementary school) kwa ajili ya father and daughter, mother and son 1st dance.
Hapa baba aki
Mama naye na kijana wake. Safi sana.
Beautiful! 

Mbarikiwe sana wapendwa. Asanteni kwa ku share picha zenu ?❤❤❤
Leo nimependa picha za my darling friend Prisca kutoka Geita…….. hawa watu wa migodini huwa wananukia pesa kila wakati ??
pendeza sana my friend. Ubarikiwe sana. Btw, lemme change the channel as this one is confidential ??? Be iwinjo gimakoni Nyakowak? Apeleka no make matek ???
Wow! Ain’t they cute! mimi penda nyinyi sana. Zari my dear, despite her skin color and gender; you got nothing here! Yani ni Diamond mtupu!! #DNAForWhat? ??
My dad and his business colleague. As usual, doing what he does best ?



Hellen Dausen. Miss Universe Tanzania 2010
Hakuna kama mama!! Upendo wa mama kwa mtoto ndiyo ‘pumzi ya uhai’ kwa mama na mtoto. Ukikosekana kunakuwa hakuna uhai tena……. wabarikiwe WAMAMA wote duniani. Jamani naomba uwelewa nimesema “wamama” kwa herufi kubwa siyo wanawake wote walioza ni wamama!! Mama ni zaidi ya kubeba mimba na kuzaa!! Kuna wanawake wengine wamezaa tuu lakini hawana sifa wala hawastahili kuitwa mama!!#RealTalk…. !
Founder of Flaviana Matata Foundation, was founded and launched in 2011. FMF was established as a not for profit, non governmental by the Tanzanian International model as a way to give back to a society and aide in improving lives of fellow Tanzanians especial young girls. Currently sponsoring a number of girls in secondary schools, contributed pads, pants, plastic disposal bags, anti bacterial soaps also provides desks, stationery kits to students, rehabilitated classrooms and improved sanitation for teachers and pupils.#HappyWomenDayIWD2016
Flaviana Matata- Miss Universe Tanzania 2007 Mwanamitindo wa Kimataifa
Jamani huyu mtani wangu nampenda sana. Halafu tumetoka mbali ati! Toka enzi za college (CBE) product ya Mwl. Mwikila siye lol!
Halafu sasa, anajua kunikosha kweli; yani yeye huwa habahatishi hachagui “koroma” hata sikumoja, si mnawaona that “chocolate” brother??? isn’t he handsome ??? No, nothing is going on, they’re ‘just’ good buddies ? ……….pendeza sana mtani wangu just keep “indulging” yourself with that chocolate ?? ❤❤❤
Wapendwa wasomaji wangu, katika kila kitu hapa duniani ambacho binadamu anataka kufanya iwe kwa kujikwamua kiuchumi, kijamii, au kisasa lazima utakutana na watu waliotangulia ambao walianza kabla yao. Wakati huo huo kutakuwa na wengine ambao watakuja nyuma yako kufanya kile kile unacho fanya. Basi usiwe mwoga kwani haijalishi hata mkawa watu mia moja katika mtaa mmoja wote mnauza au mnafanya biashara inayo fanana kwani ubunifu wako ndio “nguzo” yako!!


Leo nimependa sana hii picha ya huyu binti anaitwa Tunu kutoka Bongoland. Kapendeza sana na uzuri wake wa asili. Tunza sana ngozi yako usije haribu kwa kupaka chemical yoyote ile. Ubarikiwe sana

Najua kuna mtu anaweza sema ooh! Siku hizi unaweza tumia handsfree phone ambayo ipo built-in kwenye gari! Sikia, tatizo sio kushika simu wakati unaendesha ndio tatizo pekee bali pia mawazo / akili yako wakati unaendesha nayo nitatizo. Hivyo ni bora kuacha kwani its not worthy it!! Jali na okowa maisha ya wengine kwa kuwa extra cautious!!

Jamani Akothee kitanda kimoja kinatandikwa na mutu 3? ??? aah! Umetisha!
I love your bedroom, hakipo clouded. Safi sana. Nakitanda kizuri sana.
Nice!……..jamani mme soma ujumbe hapo juu ….!!
This is so hot! Huyu anaitwa Iris ni binti wa mwanamitindo wetu wa kimataifa Miriam Odemba! Kapendeza sana, mrembo kama mama yake. Be blessed!
“INTEGRITY IS EVERYTHING”! ……AMEN! AMEN! AMEN brother! 