Akothee Akothee katika ubora wake

Screenshot_2016-03-16-11-56-52-1Ha! Ha! Ha! Nafikiri Akothee na mimi “mapepo” yetu yanaendana ??? yani mimi sipendi mtu wa kuvuta nywele zangu au kubana kichwa changu na vilemba. Naweza zimia aisee!! Ukiona nimefungua kilemba  jua ni mapozi tuu ya picha ?? Rasta za wamasai niliwahi suka mara moja tuu tena kwa shinda kweli kweli. Siwezi kaa chini kabisa ??………

Leave a Reply