TAFFA (Tanzania Freight Forwarders Association) wakutana leo

IMG-20160217-WA0004Zaidi ya wanachama 3000 wa TAFFA walikutana leo mjini Dar es salaam kujadili tuhuma za upotevu wa containers bandarini…… IMG-20160217-WA0000zifuatazo ni picha za mkutano huo ambao uliudhuriwa na viongozi wote wa TAFFA pamoja na Mwenyekiti wa board hiyo sir. O.O Igogo IMG-20160217-WA0002Wadau ambao ni wamiliki wa makampuni ya ya logistic au Clearing and forwarding kama ijulikanavyo na wengi wakisikiliza kwa makini mkutano huo ambao unagusa maslahi yao moja kwa moja.  IMG-20160217-WA0003Ukumbi ulifurika watu walisimama na wengine ikabidi wakae chini. IMG-20160217-WA0001Natumaini mkutano ulikuwa wenye mafanikio makubwa kwa maslahi ya taifa.

Leave a Reply