Choose your friends wisely!

FB_IMG_1466092335352-1Dunia ya sasa ni ngumu sana kuamini watu baki au hata ndugu. Watu wenye roho za “kwanini” ni wengi mno! Na huwezi wajua mpaka upige hatua moja mbele yao ndio utajua kama kweli ulikuwa na marafiki au maadui! Utajua kama huyu ndugu anafaa kukaa karibu yangu au tuwe tunawasiliana kwa “remote control”! Screenshot_2016-06-16-01-25-04-1Mrs Obama said it well!!…….Ukiona ndugu au rafiki yako hawezi ku-appreciate au kufurahia maendeleo yawengine; basi jua wewe hapo ulipo hamna ulicho mzidi ndomaana anakupenda!! Na siku ukapiga hatua moja mbele basi atakusema, atakusengenya, na kukujengea majungu ya kila aina kama anavyo fanya kwa wengine! Kama una rafiki au ndugu wa namna hiyo MUOGOPE KAMA UKOMA!!Kaa mbali na watu wasiopenda na kufurahiya maendeleo ya wengine! Hao ni maMbwa Mwitu waliovaa ngozi ya Kondoo!! Kuna ndugu na marafiki wakweli ambao wao mwingine akifanikiwa ndio furaha yao. Ila ni wachache sanaaaaaa! Omba Mungu akupe watu namna hiyo kama bado hauna hata mmoja! Just choose your friends wisely!!

Leave a Reply