Kamata mwizi!

IMG_20160616_105355Kihoja cha mwaka! Usikuzi wa kuamkia jana kwenye Facebook account ya my sister nikaona amepost picha mbili za kijana fulani wa kiume ☝Nikajiuliza ni nani maana sura yake ni mpya kabisa machoni pangu………sasa kuangalia vizuri naona kuna one of our family friends ame comment kuwa “hongera kwa kukuza mdogo wa mie”! (Tazama hapo ?) 2016-06-16 11.00.42Mmh! Kitu cha kwanza nikajiuliza kichwani mwangu is; does my brother in law fathering a child somewhere, so by my sister posting his pictures is like her own  way of accepting  the situation? ?? mwe!….. basi nikasema ngoja nimuulize kwenye watsup yake. Eeh! Nisikute profile picture ya watsup ni ya huyu kijani ?? nikamuuliza my sister huyo ni nani? Mpaka leo asubuhi alikuwa hajanijibu ?? nikaamua kumuuluza mdogo wangu kama anamjua  (tazama ?) Screenshot_2016-06-16-09-22-51-1Kamata mwizi!! Huyu jamaa Kaiba simu halafu akili hana hata za kubadilisha number kabla hajatumia ?? anaanza kubadilisha picha wakati simu kaiba?! Mwe!!……kajisemea mdogo wangu kuwa wezi wa Geita siyo kama wa Daslam, IQ=zero!??? anyway my sister kanunua simu, na shemeji yangu anamfatilia huyu kijana kwa kutumia police. But it’s so funny!! Inaelekea huyu ndo mara yake ya kwanza kuiba na hajawahi kuwa na smartphone ???

Leave a Reply